Tujihadhari na mwizi wa Muhimbili mochuari

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
Mwizi.jpg

Jamaa mwenye tshirt nyekundu ni mwizi anashinda mochuari ya muhimbili anajichanganya na wafiwa akikuomba Smart phone umeumia share na wote
 
Watu wabunifu sana hasa katika sehemu za uzuni ni rahisi sana kumtapeli mtu.
Me kuna siku nilipita katika hospitali akanifata jamaa ananiambia mtoto wake anaumwa ameshindwa kula chochote hivyo nimuongezee pesa amkanunulie mtori!nikatoa kumpa baada ya miezi nikamkuta yupo hospitali ingine tena anaongea na rafki vilevile km alivyonifanyia me!nikamuuliza mtt hajapona bado akajibu ndio nikamwambia twende tukamuone wote jamaa akaingiza upepo nikambana hapohapo nikamkwida shati twende tukamuone mtt tukaenda nae kishingo upande hadi wodini anatuelekeza kwa mbali yule nikamkaba twende mbona akaanza kuomba msamaha!nikamfanyia ukauzu nikamtoa ela zote alokuwa nazo nikampa mzee mmoja mlemavu pale!maana ndo alistaili ile ela sio huyu tapeli
 
Kweli kuna watu mmejaaliwa ukauzu daaaah :(:(:(:(:(:(
 
Muhimbili hata kanisani pia kama unafanyia ibada pale..kuna wezi hua wanajichanganya na wafiwa,ukizubaa tu lazima uisome namba
 
Inawezekanaje aibe simu na asibadili eneo la kufanyia utapeli? Kwa kuwa aliiba na inafahamika alipo akakamatwe apelekwe mbele ya vyombo vya sheria.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom