kuna mengi ya kujifunza pamoja na kujenga kwetu,kuendeleza kwetu,kuiba...,kuishi kimara...elimu,utafutaji wa pesa ( ujasiriamali hata kwa vijana wadogo ), umoja, kusali well na kichaga chenyewe! Chamecha meku!wenzetu wanakumbuka wazee wao na ndugu zao wanaoendeleza miji.....sio mimi kwetu singida kurudi mpaka baad ya miaka 5, then siendelezi kwetu hata kidogo kazi ni kuporomosha mijengo tu daslam hali wazee wanfu wapo nadani ya tembe...na mvua ikinyesha ni balaaa.....usafiri tabu wakati nimewekeza daladala dar.....zahanati hazina madawa wakati ni bingwa wa kuchangia madawa katika zahanati za dar ili niimbwe na baadhi ya bendi.....nawasaidia ada watoto wa rafiki yangu wakati binamu zangu kule iramba wanakosa ada elfu 40,000 "SHAME ON ME MAHESABU" BIG UP WACHAGA...BIG UP ....NADHANI NITAJIFUNZA KWENU....."MUNSAMELE ANTUA AANE....IYALALIA SANA...KUKAILIKE KATE"
Kama wote tungekuwa tunajua kuwa tumewasahau Wazazi wetu kijijini ingekuwa bora sana na nakubaliana na wewe Watu tunajisahau na kushindwa hata kwenda kwetu kisa hatukujenga tunaporomosha majengo ya maana wakati kwetu wazazi wanalala kwenye nyumba za nyasi.wenzetu wanakumbuka wazee wao na ndugu zao wanaoendeleza miji.....sio mimi kwetu singida kurudi mpaka baad ya miaka 5, then siendelezi kwetu hata kidogo kazi ni kuporomosha mijengo tu daslam hali wazee wanfu wapo nadani ya tembe...na mvua ikinyesha ni balaaa.....usafiri tabu wakati nimewekeza daladala dar.....zahanati hazina madawa wakati ni bingwa wa kuchangia madawa katika zahanati za dar ili niimbwe na baadhi ya bendi.....nawasaidia ada watoto wa rafiki yangu wakati binamu zangu kule iramba wanakosa ada elfu 40,000 "SHAME ON ME MAHESABU" BIG UP WACHAGA...BIG UP ....NADHANI NITAJIFUNZA KWENU....."MUNSAMELE ANTUA AANE....IYALALIA SANA...KUKAILIKE KATE"
kuna mengi ya kujifunza pamoja na kujenga kwetu,kuendeleza kwetu,kuiba...,kuishi kimara...elimu,utafutaji wa pesa ( ujasiriamali hata kwa vijana wadogo ), umoja, kusali well na kichaga chenyewe! Chamecha meku!
We naye! Jifunze mema kataa mabaya. Kwamba wachagga ni wezi huu nimtazamo wa kizamani sana.Nenda magereza au mahakamani uone wezi ni wakina nani. chukua gazeti lenye taarifa za wizi uone ni akina nani.. angalia vibaka wanaochomwa moto uone ni nani. Wizi ni uhalifu na hauna kabila.Hilo la kuiba nalo tujifunze?
We naye! Jifunze mema kataa mabaya. LALA KUCHA MAE.
Wachaga wana mengi ya kuiga kwanza hilo la kijenga kwao kwanza pili kujali zaidi wazazi waliopo kijijini. Watu kipindi cha nyuma walikuwa wanawakebehi Wachaga wanapenda sana Mali ile syle ya kwenda kuoa unaulizwa una kabati ya mbio-friji,kabati ya fioo-tv, nyumba ya dari-ghorofa na pickup ya kubeba majani...haya sasa ukweli ni kwamba kila kabila wanatamani kupata hivyo vitu. Mchaga kijijini hawezi oa hajajenga maana akioa anaenda kwake...c cku hizi unaoa unaishi kwenu au kwa dada Ama kakayo.
Ni ukweli usiofichika pia Moshi ndo mji msafi Tanzania nalo pia la kuigwa toka kwa Wachaga