Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,053
653
Hakuna asiyefahamu kuwa kuna Kabila Moja Nchini Tanzania ambalo linajulikana sana kwa mihangaiko ya maisha maana karibu kila sehemu unapokwenda hata vijijini lazima utasikia kwa MANGI kama si kwa jina hilo basi utakuta wanatumia jina jingine kama yanavyojulikana majina ya Kichaga, Mushi,Kessy,Assey,Marando,Tarimo nk.

Lakini hili Kabila inipofika mwezi wa 12 kama sasa huanza mihangaiko ya kwenda kwao kwaajili ya kusherekea sikukuu ya X-Mass. Je tujifunze nini kutoka kwa kwa Kabila hili? Maana kuna baadhi ya watu husema kuwa wengi wa Wachaga huenda kwaajili ya kufanya matambiko Mbalimbali je ni kweli?
 
wenzetu wanakumbuka wazee wao na ndugu zao wanaoendeleza miji.....sio mimi kwetu singida kurudi mpaka baad ya miaka 5, then siendelezi kwetu hata kidogo kazi ni kuporomosha mijengo tu daslam hali wazee wanfu wapo nadani ya tembe...na mvua ikinyesha ni balaaa.....usafiri tabu wakati nimewekeza daladala dar.....zahanati hazina madawa wakati ni bingwa wa kuchangia madawa katika zahanati za dar ili niimbwe na baadhi ya bendi.....nawasaidia ada watoto wa rafiki yangu wakati binamu zangu kule iramba wanakosa ada elfu 40,000 "SHAME ON ME MAHESABU" BIG UP WACHAGA...BIG UP ....NADHANI NITAJIFUNZA KWENU....."MUNSAMELE ANTUA AANE....IYALALIA SANA...KUKAILIKE KATE"
 
kuna mengi ya kujifunza pamoja na kujenga kwetu,kuendeleza kwetu,kuiba...,kuishi kimara...elimu,utafutaji wa pesa ( ujasiriamali hata kwa vijana wadogo ), umoja, kusali well na kichaga chenyewe! Chamecha meku!
 
Kama wote tungekuwa tunajua kuwa tumewasahau Wazazi wetu kijijini ingekuwa bora sana na nakubaliana na wewe Watu tunajisahau na kushindwa hata kwenda kwetu kisa hatukujenga tunaporomosha majengo ya maana wakati kwetu wazazi wanalala kwenye nyumba za nyasi.
Kama kweli tupo wengi wa namna hii basi tuige hii ya Wachaga kwani kwenda likizo kujumuika na ndugu na jamaa ni jambo muhimu sana, na hili pia huweza hata kuchochea maendeleo kwani unapowapeleka watoto kwa Bibi yao kwenye nyumba ya nyasi kesho watakuuliza baba au Mama leo tunalala wapi basi kwa kufanya hivyo unaweza jenga hata kibanda cha kufiki.
 
Hilo la kuiba nalo tujifunze?
kuna mengi ya kujifunza pamoja na kujenga kwetu,kuendeleza kwetu,kuiba...,kuishi kimara...elimu,utafutaji wa pesa ( ujasiriamali hata kwa vijana wadogo ), umoja, kusali well na kichaga chenyewe! Chamecha meku!
 
Jifunzeni kupenda na kujali kwenu pamoja na ndugu zenu.....kujenga na kusomeshana hapo!!
kujumuika kifamilia, kua pamoja familia nzima ni raha nyie hamjui tu.....
Kua wajasirimali...kujiajiri na kuajiriana na wakwenu.....!!
 
Mimi niko Mwanza,dada yangu yuko Dodoma,mdogo wetu yuko Iringa,mzee ndio hivyo yeye na Arusha......aah! Dogo mwingine yuko Tanga. Mtoto wa shangazi anapata Kipaimara mwezi huu. Kusema kweli hiki ndio cha kukutana familia nzima. Pia ndio kipindi cha kwenda kujenga kwetu,hapa mjini nitapanga tu! Nimewahi kuona nyumba za tembe na nyasi, Bukobd, mwanza,shy,manyara,arusha,dsm,nk.ila Moshi........sikumbuki.
 
Hilo la kuiba nalo tujifunze?
We naye! Jifunze mema kataa mabaya. Kwamba wachagga ni wezi huu nimtazamo wa kizamani sana.Nenda magereza au mahakamani uone wezi ni wakina nani. chukua gazeti lenye taarifa za wizi uone ni akina nani.. angalia vibaka wanaochomwa moto uone ni nani. Wizi ni uhalifu na hauna kabila.
 
i thought this is a thread for jokes , utani etc ? au this is jamii intelligence ?
 
Tujifunze kuwa si lazima kusubiri serikali ijenge shule kwenye kila kijiji. Na tusiwaogope kama Nyerere alivyokuwa anawaogopa eti wasipewe uongozi wa nchi ........... tungekuwa mbali sana???
 
Wachaga wana mengi ya kuiga kwanza hilo la kijenga kwao kwanza pili kujali zaidi wazazi waliopo kijijini. Watu kipindi cha nyuma walikuwa wanawakebehi Wachaga wanapenda sana Mali ile syle ya kwenda kuoa unaulizwa una kabati ya mbio-friji,kabati ya fioo-tv, nyumba ya dari-ghorofa na pickup ya kubeba majani...haya sasa ukweli ni kwamba kila kabila wanatamani kupata hivyo vitu. Mchaga kijijini hawezi oa hajajenga maana akioa anaenda kwake...c cku hizi unaoa unaishi kwenu au kwa dada Ama kakayo.
Ni ukweli usiofichika pia Moshi ndo mji msafi Tanzania nalo pia la kuigwa toka kwa Wachaga
 
SAHIHISHO: Mji msafi zaidi Afrika.
 
Karibuni kwetu. na mjapo kipindi hiki msiteme mate hadharani, usitupe karatasi au kichungi cha sigara. Ukionekanika faini ni shs 50,000. Tunataka kuongeza kiwango cha usafi zaidi maana tunaona usafi huu hautoshi. Jihadharini na muwe makini.
 
Mi nadhani tujifunze kutafuta pesa kama wachaga na inapofika Disemba ni mwezi wa kwenda kwetu kuwasalimu wazazi,mabibi, mababu, mashangazi,wajomba, kusafisha makaburi ya wapendwa wetu, kukutana na ndugu, kunywa na kula mpaka basi.................jamaa wanaienzi mbege si mchezo, ni kama ujerumani ikifika i think september kuna siku watu wanakunywaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kama one week mpaka viwanda vinaishiwa bia.
 
Tunajifunza kupendana kama ndugu maana ukoo mzima mnakutana
Tunakwenda kula na ndugu zetu tulichokusanya huko mjini

Tunahamasishana kutafuta maisha kwa bidii maana ukienda umechoka utajitahidi
next year uende ukiwa vizuri

Tunakwenda kupeana mbinu na fursa mpya za kutafuta maisha katika maeneo yenye
green pasture
 
tujifunze kuthamini vya kwetu,si lazima kuwe na supermarket fungua zako genge nje ya nyumba na duka,si wooote waliosoma wanamaendeleo sana lakini tusome kiasi japo tufute ujinga,darasa la 7 au form form then maisha ni kutafuta tena popote.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom