Shebbydo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,176
- 1,939
- Thread starter
- #521
Ndiyo ndege ina ukomo wake. Kinachosababisha ukomo wa ndege ni metal fatigue. Kwa wastani wa commercial aircraft ambazo zina long haul ni 40,000 cycles (Cycle ni ile take off na landing. Kwa mfano ndege ikiruka kutoka Dar ikatua Kigoma hiyo ni cycle moja. Kwa short haul idadi ya cycle huongezeka hadi 100,000 cycles.Umemjibu mtu kua ndege ina ukomo wa matumizi. Je baada yakufikia muda wake wa mwisho kutumika inapelekwa wap? inakua recycled au?
Kuhusu kurecycle labda material yaliyotumika kuyeyushwa na kuwa processed tena. Hili wanaweza kufahamu zaidi watu wa aeronautical engineering.