Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

Inasemekana ndege haitumii mafuta mara mbili. Ikienda safar moja kama mafuta yatabaki Inabid yamwagwe yaekwe mengine. Je ni kwel?
Kama ni kwel, nnn sababu?
 
Inasemekana ndege haitumii mafuta mara mbili. Ikienda safar moja kama mafuta yatabaki Inabid yamwagwe yaekwe mengine. Je ni kwel?
Kama ni kwel, nnn sababu?
Kaika experience yangu ya ndege sijawahi kumwaga mafuta wala kuona yakimwagwa mkuu.
 
Pilots wa ndege za masafa marefu, vp wakienda nchi fulan wanaeza kutoka nje ya uwanja nakujichanganya km raia wengine bila kibal?
wanazo passport au?
 
Pilots wa ndege za masafa marefu, vp wakienda nchi fulan wanaeza kutoka nje ya uwanja nakujichanganya km raia wengine bila kibal?
wanazo passport au?
Kwa watu wa ndege kuna vibali maalum hata bila Passport
 
Hivi ndege na zenyewe zinatumia njia kama huku duniani magari yanavyo pita kwenye njiani zake?
 
Gari unaweza kuchagua speed ya kuendesha mfano kwenda slow au kasi ,je ndege ikiwa angani inaweza kupunguza speed au kwenda speed Zaidi?
 
Hivi ndege na zenyewe zinatumia njia kama huku duniani magari yanavyo pita kwenye njiani zake?
Mkuu haya maswali yameshajibiwa kwenye comment zilizopita. Nikuombe tu ujipe kazi ya kusoma comment zilizopita ili upate mengi pia. Japo page ni nyingi.
 
Gari unaweza kuchagua speed ya kuendesha mfano kwenda slow au kasi ,je ndege ikiwa angani inaweza kupunguza speed au kwenda speed Zaidi?
Ndiyo mkuu, rubani anao uamuzi huo.
 
Naomba unieleweshe kuhusu Maelezo anayopewa ruban kuifata run way ilipo
mfano.. run way ipo "25 LEFT" nnn hasa maana yake?
kifaa gan hutumika kupata iyo direction?
 
Naomba unieleweshe kuhusu Maelezo anayopewa ruban kuifata run way ilipo
mfano.. run way ipo "25 LEFT" nnn hasa maana yake?
kifaa gan hutumika kupata iyo direction?
Mkuu ndege inafaa vingi ambavyo vinamsaidia katika kuingoza ndege tangu kuruka mpaka kutua. Kuna vifaa vya navigation kama vile Automatic Direction Finder {ADF), Distance Measuring Equipment, Localizer na vingine vingi. Maelezo ni marefu kidogo hivyo najaribu kuangalia ni jinsi gani niwe naelezea kifaa kimoja kimoja. Lakini pia naona nikzama ndani katika vifaa vya Avionics jinsi vinavyofanya kazi, naona kama nawachanganya. Nimejaribu kutolea maelezo VOR katika comment zilizopita, naona kama ilikuwa ngumu watu kuielewa.
 
Ndege inaporuka mfano DAR-KIGOMA ruban huongozwa na kituo cha dar ad afike kigoma?
Au hupokelewa na kituo cha kigoma? Je ni kwa umbali gan hupokelewa?
 
Umemjibu mtu kua ndege ina ukomo wa matumizi. Je baada yakufikia muda wake wa mwisho kutumika inapelekwa wap? inakua recycled au?
 
Ndege inaporuka mfano DAR-KIGOMA ruban huongozwa na kituo cha dar ad afike kigoma?
Au hupokelewa na kituo cha kigoma? Je ni kwa umbali gan hupokelewa?
Hapo katikati kuna VOR stations zinamsaidia katika safari yake. Kuna comment huko nyuma kuna mdau kaeleza vizuri nadhani atakuwa ni aircraft controller kama si rubani. Na mimi nikaelezea vizuri VOR inavyofanya kazi. Unajua mhandisi kuhusu ndege anaijua ndege na vifaa vyake vizuri. Procedure za flying tunawaachia marubani.
 
mkuu vile vyuma vinavyoshikilia matairi ni vyuma vya kawaida hivi au vipo kama vya reli
 
Back
Top Bottom