Tujichoreni tatoo ya Polepole kumuenzi

Tujichoreni tatoo ya Polepole kumuenzi

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,331
Reaction score
4,241
Wakubwa na wadogo, vijana na wazee, watoto na wakubwa na wanawake kwa wanaume inakuaje asee watu wangu wa nguvu.

Moja kwa moja kwenye mada. Kama kwicha cha mada hapo juu tujichoreni tatoo mwilini kama kumuenzi balozi Humphrey Polepole.

Popote mwilini. Mimi tayari niko kwenye maandalizi ya kumchora Mwamba begani.

Hii itakuwa alama ya kumuenzi huyu shujaa. Ili vizazi vijavyo vijifunze na kulinda legacy ya mwamba.

adriz Mjusi Sharobalo Lucha Stuxnet matumaini nanyi mtamuenz kwa kufanya hivi.
 
Ulimbukeni na uzwazwa. Ili iweje? Kwani, tattoo ni silaha au ujinga wa kawaida tu. Nenda waliko muwatake wamrejeshe. Wala mie hanishughulishi kwa vile ni mwenzao.
 
Huyu hapa mwenzako.....

1760730363561.png
 
Ndiyo maana tunawaambia kila siku humu msikubali kuongozwa akili na watu wajinga haya ona sasa huyu alichowaambia! Halafu kesho anakuhimiza ukaandamane eti na wewe unashikilia bango kweli

Hopeless
 
Wakubwa na wadogo, vijana na wazee, watoto na wakubwa na wanawake kwa wanaume inakuaje asee watu wangu wa nguvu.

Moja kwa moja kwenye mada. Kama kwicha cha mada hapo juu tujichoreni tatoo mwilini kama kumuenzi balozi Humphrey Polepole.

Popote mwilini. Mimi tayari niko kwenye maandalizi ya kumchora Mwamba begani.

Hii itakuwa alama ya kumuenzi huyu shujaa. Ili vizazi vijavyo vijifunze na kulinda legacy ya mwamba.

adriz Mjusi Sharobalo Lucha Stuxnet matumaini nanyi mtamuenz kwa kufanya hivi.
Kipenzi chenu ndo kilivyowafundisha?
 
Kama kina ndugu zako huku JF wakuwahishe Mirembe Mental Health Institute pale Dodoma. Sina msaada zaidi ya huu
 
Back
Top Bottom