Weka source ya bei ya mafuta pipa Moja likiwa $175,Madhila ya vita ya Iran na Marekani/Israel yameanza kuonekana tangu mwanzo mwa mwezi huu kwenye usafiri wa ndege
Baada ya airport za Qatar na Dubai kufungwa tickets za ndege zilipanda maradufu.. Imagine ticket ya ndege kutoka China kurudi Bongo ilipanda kutoka 2M mpaka 10M
Hii vita haina dalili na kumalizika leo wala kesho na ukosefu wa mafuta umeshaanza kushika kasi duniani .. Leo pipa moja la mafuta ghafi limefikia dola 175.
Mataifa mengi yameshaanza kutoa tahadhari kwa wananchi wake kupunguza matumizi ya nishati (mafuta na gesi) sisi bado.. Lakini hatuko mbali
Lockdown ijayo si ya maradhi na barakoa na kujivukiza tena! Bali ni lockdown ya " movement limitations" kwakuwa mafuta yatapanda bei kupitiliza na yatakuwa hayapatikani kwa urahisi
Fursa fursana! Lockdown ya mafuta wakati itakapokuwa janga kwa wengine, kwingineko itakuwa ni neema na fursa ya kupiga ndefu.
Jiandae ufaidike ama ujipange lockdown yaja!
NATO ni paper Tiger bila USA. Mbona na wao wanalia lia mafuta kupanda bei? Maana madhara na wao yanawapata direct..Ni vita vya kipuuzi ndio maana hata wenzao NATO wamekaa pembeni hawapo involved direct. Hakukuwa na sababu ya kuanzisha hiyo vita maana haina faida yoyote hakuna mwenye hatimiliki ya hii dunia kwamba huyo ndio ana haki ya hiki na kile.. okay, Irana hajawai anza mshambulia mtu kabla hajaguswa
Mi nlitegemea NATO waungane kumshurutisha USA asitishe vita.Na wameshaonywa na Iran wasijaribu kamwe kuingilia hii vita
Hapo ndipo unazidi kujichanganya. Iran sera yake ni kuifuta Israel. Kwa upande wako, Israel akae kimya akisubiri hatma yake au? Pili 07/10 ilianzishwa na Hamas na mfadhili wa haya Makundi yote ni Iran.Ni vita vya kipuuzi ndio maana hata wenzao NATO wamekaa pembeni hawapo involved direct. Hakukuwa na sababu ya kuanzisha hiyo vita maana haina faida yoyote hakuna mwenye hatimiliki ya hii dunia kwamba huyo ndio ana haki ya hiki na kile.. okay, Irana hajawai anza mshambulia mtu kabla hajaguswa
Nani chanzo cha yote ?NATO ni paper Tiger bila USA. Mbona na wao wanalia lia mafuta kupanda bei? Maana madhara na wao yanawapata direct..
achananeni na hizo propaganda uchwara, hakuna taifa la kulifuta taifa lingine hui dunia ya leo. Marekani ni mshenzi amekuwa akisababisha matatizo mala kadhaa katika nchi nyingi.Hapo ndipo unazidi kujichanganya. Iran sera yake ni kuifuta Israel. Kwa upande wako, Israel akae kimya akisubiri hatma yake au? Pili 07/10 ilianzishwa na Hamas na mfadhili wa haya Makundi yote ni Iran.
Huwezi kuita hivi vita ni vya kipuuzi, vina umuhimu wake kwa upande wa Israel na Marekani kama mlinzi wa Israel. Sema aidha walikuwa wanatest Iran kwa kuingiza mguu katika dimbwi ili kukadria kina au taarifa walizokuwa nazo si za uhakika.
La kufanya ni kukubali kuwa Iran wameishindwa, warudi katika drawing table. Ila nina uhakika watarudi tena siku za usoni.
Katika majadiliano busara ni kitu cha muhimu. Matusi si hulka njema katika majadiliano. Aidha katika majadiliano si vyema kufikiri mawazo yako au mtizamo wako upo sahihi siku zote. Wengine hapa JF ni wanafunzi na tunajifunza kwa kubadilishana mawazo. Si washindaniachananeni na hizo propaganda uchwara, hakuna taifa la kulifuta taifa lingine hui dunia ya leo. Marekani ni mshenzi amekuwa akisababisha matatizo mala kadhaa katika nchi nyingi.
Kuishambulia kwao Iran, sasa hivi mbona hoja zao zilikuwa wazi, na hatukuona hii hoja yako ya kuifuta Israel ?
Poa mkuu, nimekuelewa . SorryKatika majadiliano busara ni kitu cha muhimu. Matusi si hulka njema katika majadiliano. Aidha katika majadiliano si vyema kufikiri mawazo yako au mtizamo wako upo sahihi siku zote. Wengine hapa JF ni wanafunzi na tunajifunza kwa kubadilishana mawazo. Si washindani
Sio ya kuyqombea lakini hamna namna lazima yaje, marekani kazingua mnoo.Baada ya hapo kila kitu kitabadilika, tutanyooka!
Huyo kitambo tu nilimuona ana akili za kiCCM, kuna siku mwaka jana alikuwa anawaomba raia wa iran 🇮🇷 waipindue serikali yao, eti wao ndio wanawatqkia mema. 😂🤣kuua waue wao, ila mwingine akiwanyoosha kidogo tu wanaanza toa milio.. Jana Nyau anaomba Duania iungane mshambulia Iran, ( nilijua jamaa ana akili kumbe nae kajaza mavu kichwani )
Hawa jamaa wawili wamekuwa magaidi namba moja duniani. Hata hivyo hata mambo yapo calculated, wanafanya kwa faida ya mataifa yao.Sio ya kuyqombea lakini hamna namna lazima yaje, marekani kazingua mnoo.
"they charge for what it will cost to replace"Wiki ya kwanza tu ya vita huku wakapandisha bei wakati wala kulikuwa hakuna uhusiano kabisa