Je ni kweli elimu yetu haitufundishi kujiajili?? mbona wenzetu wahindi wanafanikiwa kujiajil??
utajiajiri vipi na hujui kiswahili,kiingereza je?acheni uvivu
Sidhani kama lugha ni kigezo saana cha mtu kuwa na uwezo wa kujiari. Nadhani kuna kikwazo kingine kikubwa hapa.
unajua kokote duniani elimu ya shule inakufundisha jinsi ya kufanya kazi na sio kucreate kazi,hivyo kama kayosaki na donald trump wanavyoshauri ni lazima uitafute elimu hii nje ya uwigo wa shule.sisiti kusema naweza nikatoa pia ushauri piga 0717031290
utajiajiri vipi na hujui kiswahili,kiingereza je?acheni uvivu
65% ya graduates wa india wanaomaliza ndoto yao ni kufungua makampuni yao na kujiajiri wao wenyewe,
75% ya wamarekani ni hivyo hivyo!
Tanzania 85% graduates wanafikiria kuajiriwa!
ajabu,wanaofundishwa kozi za entreprenuership
wengi wakihitmu,wanakwenda kuwa wakufunzi,
wanaajiriwa ili kufundisha wengine...........
Yaani hakuna anaejiajiri....
Hao wanaoitwa wajasiriamali wa sido wako zaidi ya 3000
but wanaoishi kwa biashara zao hawafiki kumi....
65% ya graduates wa india wanaomaliza ndoto yao ni kufungua makampuni yao na kujiajiri wao wenyewe,
75% ya wamarekani ni hivyo hivyo!
Tanzania 85% graduates wanafikiria kuajiriwa!
toa takwimu zako tuone!!kama ulitaka more info si ungesema ili upewe link kuliko kuja na kebehi hapa.Hizi takwimu umezipata wapi????Au unajifurahisha tu?System ya nchi ikiwa mbovu, mambo mengine yanakuwa magumu sana.