Elimu iwaandae wanafunzi wote kujiajiri na sio kuajiriwa

Brian Mrema

New Member
Aug 1, 2022
4
4
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,

Nilikuwa mwanafunzi takrinani miaka 20 nyuma na wadogo zangu wapo shule kulingana na system ya elimu ya Sasa inawaandaa wanafunzi wengi kuajiliwa na sio kujiajili hii inawaletea wanafunzi wengi haswa wale wanaomaliza kidato Cha sita au Cha nne kushindwa kuelewa jinsi gani wanatakiwa kuendana na mkiki mkiki wa maisha ya ajira baada ya kumaliza shule.

Naposema elimu kwa vitendo namaanisha system ya elimu iwaandae wanafunzi wote kujiajiri na sio kuajiriwa, hii itawasaidia wanafunzi wengi kuwa wabunifu na akili zao kutanuka na sio kuwaza kuajiliwa tu Bali kujiajili kwa kuwa kama watu wengi wakijili inasaidia kukuza level ya uchumi wa nchi yetu ya Tanzania.

Yangu ni hayo tu.
 
Kujiajiri sio rahisi kama wengi wetu wanavyo fikiria. Dunia nzima wengi ni wa ajiriwa. Serikali inatakiwa iweke mazingira mazuri kwa sekta binafsi kupanuka na vijana wenye ubunifu waweze kupata msaada unaohitajika.
Mengi yanasemwa lakini wengi wanaopigia debe vijana wajiajiri wenyewe ni wa ajiriwa-kwa nini?
 
Back
Top Bottom