sasa kwa sisi wenye ndoa zetu?...Wakuu asalaam aleykum;
Jana katika pitapita yangu nikatua kwenye nyumba ya ibada ili kujiandaa vyema kwa ajili ya hiki kipindi cha kwaresma
wakati wote huo akili yangu ilikua fast iki-reflect jinsi maisha yanavyoenda, kazini, starehe, michezo (kidogo) na more important loved ones. Baada ya muda, (kwakweli ilifika wakati nikawa navusha hadi kupoteza kabisa ibada yenyewe); nikaona ngoja nijaribu kuweka mbili tatu ziwe agenda japo kwa siku kadhaa.
hivyo basi, naomba ndugu za ngu tuwe pamoja kwenye hili na tujitahidi (kwa wale wanaoweza) kuboresha imani na matendo japo kwa mwezi tu ili tuanze maisha matamu zaidi
- kupunguza tungi kwa zaidi ya 50% maana kwa sasa hazipiti siku mbili mtu lazma ushtue tena si kidogo
- kuwahi hom ili kujiweka vizuri na kamanda
- kuanza mazoezi ya nguvu ili kuondoa hizi love handles ambazo kwa jinzi zinavyokuwa kubwa mtu unaweza hata kuanikia combat la jeshi
- kubadili kidogo mlo ili kusafisha ini na viungo vingine
- kuepuka kabisa mazingira hatarishi yanaweza kuchochea kale kamchezo
Its all about love, au sio?
Yuup Broda!sasa kwa sisi wenye ndoa zetu?...
sasa kwa sisi wenye ndoa zetu?...
kwenye hili niko makini sana mkuu!...hahaaaaa hongera mkuu kwa kupata mwenza
Hii ni kwa wote mazee, hata wale singo au walioingeji ni vyema wakawa na kautaratibu ka kufurahia maisha wakiwa more conscious na mazingira hatarishi kiafya, kipesa na kijamii kwa ujumla
huwezi amini, hata kuwahi kazini ni kutimiza wajibu kwa namna ya pekee
....kama mwanzo na sasa na siku zote na milele!....Yuup Broda!
Safi sana...inasaund vizuri sana unapotamka hivi!
Naamini kabisa kuwa ndoa ni kitu chema sana!
De Novo najaribu kukuelewa ila "bullet" ya mwisho ....kale ka mchezo ndio nini? Call a spade a spade.
...ni kwa ajili ya kwaresma tu?..mimi nilidhani ni mabadiliko ambayo tungeyafanya siku zote za maisha yetu!(hasa hasa ukiwa na ndoa takatifuOk, i am calling it like it is... sometimes sisi wote, wake kwa waume, wanandoa na wasio wanandoa tumekua tunaruhusu mazingira ambayo mara nyingi yanalead to "mikasi" either kwa kudhamiria au bahati mbaya
My point ni kwamba tujaribu kuepusha, mfano ni kunywa saaana wakati uko na mtu wa opposite sex ambaye na yeye anakunywa saaana.... kuacha drugs and the likes
sasa kwa sisi wenye ndoa zetu?...
understood!.........mfanye hivyo hivyo!
wahi kurud home
fanya mazoezi (wengine mazoezi wanafanyia kwenye 6*6)
sometimes usile menyu
tembelea yatima pale msimbaz centre
kama huwa unakunywa bia 5 kwa siku mwez huu kunywa 2
nk nk nk nk
bana weh..... hata mbuyu ulianza kama mchicha... tunaanza tartiiiibu kama treni vile mara mwaka...ni kwa ajili ya kwaresma tu?..mimi nilidhani ni mabadiliko ambayo tungeyafanya siku zote za maisha yetu!(hasa hasa ukiwa na ndoa takatifu)
kweli bwana mkubwa!....na kwa kuongezea tu ni kwamba kukiishi kipindi hichi kwa maadili zaidi ningeshauri waamini wote wafanye kila linalotakiwa wajiweke karibu na mungu kwa sala,kuhudhuria jumuiya ndogo ndogo,kuwatembelea yatima,kuhudhurua ibada jumapili n.kbana weh..... hata mbuyu ulianza kama mchicha... tunaanza tartiiiibu kama treni vile mara mwaka
unajua raha ya hiki kipindi ni kwamba hata ile nguvu ya kupiga vichwa shetani inaongezeka aisee
ni kweli kabisa, unajua kuna faida sana ya kupunguza haya magud taim tunayoyala mazeemfanye hivyo hivyo!
wahi kurud home
fanya mazoezi (wengine mazoezi wanafanyia kwenye 6*6)
sometimes usile menyu
tembelea yatima pale msimbaz centre
kama huwa unakunywa bia 5 kwa siku mwez huu kunywa 2
nk nk nk nk
bora unywe tu kiongozi....ni kweli kabisa, unajua kuna faida sana ya kupunguza haya magud taim tunayoyala mazee
Kazi kwangu ni kupunguza ile alcohol, yaani nikiangalia serengeti inavuja jasho ndio napata shida lakini nimepasi jana kwahiyo zimebaki 39.... tartiiibu najikongoja
mpe likizo mamaaaa!sasa kwa sisi wenye ndoa zetu?...
De-Novo inabidi tuwe wasafi na watakatifu siku zote sio kwa msimu -kama Kwaresma sijui mfungo wa Ramadhani na kadharika
Thanks ..