Tujaribu japo kwa mwezi tu...

Wakuu asalaam aleykum;

Jana katika pitapita yangu nikatua kwenye nyumba ya ibada ili kujiandaa vyema kwa ajili ya hiki kipindi cha kwaresma

wakati wote huo akili yangu ilikua fast iki-reflect jinsi maisha yanavyoenda, kazini, starehe, michezo (kidogo) na more important loved ones. Baada ya muda, (kwakweli ilifika wakati nikawa navusha hadi kupoteza kabisa ibada yenyewe); nikaona ngoja nijaribu kuweka mbili tatu ziwe agenda japo kwa siku kadhaa.

  • kupunguza tungi kwa zaidi ya 50% maana kwa sasa hazipiti siku mbili mtu lazma ushtue tena si kidogo
  • kuwahi hom ili kujiweka vizuri na kamanda
  • kuanza mazoezi ya nguvu ili kuondoa hizi love handles ambazo kwa jinzi zinavyokuwa kubwa mtu unaweza hata kuanikia combat la jeshi
  • kubadili kidogo mlo ili kusafisha ini na viungo vingine
  • kuepuka kabisa mazingira hatarishi yanaweza kuchochea kale kamchezo
hivyo basi, naomba ndugu za ngu tuwe pamoja kwenye hili na tujitahidi (kwa wale wanaoweza) kuboresha imani na matendo japo kwa mwezi tu ili tuanze maisha matamu zaidi

Its all about love, au sio?

Maoni na ushauri mzuri. Lkn naona labda isiwe tu kwa ajili ya kwaresma iwe siku zote. Ikiwa tu kwa ajili hii to me it sounds like pretence....Lets be real, maana haya ni maisha not a rehearsal.

Mungu hadanganyiki.
 
mfanye hivyo hivyo!

wahi kurud home
fanya mazoezi (wengine mazoezi wanafanyia kwenye 6*6)
sometimes usile menyu
tembelea yatima pale msimbaz centre
kama huwa unakunywa bia 5 kwa siku mwez huu kunywa 2
nk nk nk nk

Tunywe mbili tu? Nyindgine anywe nani?
Too many resolutions bra! Kuwa honest to your self and decide on one or two.
Do justice to your urself bra. For real.
 
Maoni na ushauri mzuri. Lkn naona labda isiwe tu kwa ajili ya kwaresma iwe siku zote. Ikiwa tu kwa ajili hii to me it sounds like pretence....Lets be real, maana haya ni maisha not a rehearsal.

Mungu hadanganyiki.

you are very right my dear... but everything starts at a will... i am in
 
Mimi napunguza 100%

Maeneo yafuatayo naomba msinitafute, nitakuwa ibadani (Nasali, Natubu na Kuamini Injili):-
- Calabash (Mwenge)
- New Africa (Happy Hour)
- QBar (Nime-lipia Dstv tayari)
- Billionaire Club (Msasani)
- Makumbusho/Msasani Club (Nyoshi Al-Sadaat usinibeep)
- Bamboo (Akaunta usitume tafadhali nipigie)
- Na Nyumba zote za kulala Wenyeji za Gongo la Mboto na Sinza ( Vyumba Uza kila Ijumaa jioni msiniweeke)

Tubuni na Kuamini Injili

mkuu uko deep sana hapa... hapo pennye nyekundu ndio nilipovunjia jungu mazee
 
Mimi napunguza 100%

Maeneo yafuatayo naomba msinitafute, nitakuwa ibadani (Nasali, Natubu na Kuamini Injili):-
- Calabash (Mwenge)
- New Africa (Happy Hour)
- QBar (Nime-lipia Dstv tayari)
- Billionaire Club (Msasani)
- Makumbusho/Msasani Club (Nyoshi Al-Sadaat usinibeep)
- Bamboo (Akaunta usitume tafadhali nipigie)
- Na Nyumba zote za kulala Wenyeji za Gongo la Mboto na Sinza ( Vyumba Uza kila Ijumaa jioni msiniweeke)

Tubuni na Kuamini Injili

Niongezee na vituo vyote vya viti moto jamani.....:D
 
day one went very well... very well indeed!!
jibaba kalala sober
kaamka sober kwa day two
katulia hom proper
kamaliza viporo vya kazi
no meandering

really good feeling... kazi ni sustainability ya hii move
 
day one went very well... very well indeed!!
jibaba kalala sober
kaamka sober kwa day two
katulia hom proper
kamaliza viporo vya kazi
no meandering

really good feeling... kazi ni sustainability ya hii move

Tuko pamoja mkuu! Ila usingizi ukiwa sober unasumbua sana kupatikana! Ila tukaze buti tu! :)
 
Wakuu,
day two was perfect
day three super
day four - and then trouble started, i really failed may saturday:(
day five - perefecto

I am praying for a week that is disciplined and clean
 
bismillah rahman rahim!!

nimeanza another day brightly, more ethical supposedly... full of positivity in my little brain despite "proper" monday melancholic mood!:eek:

Pia nimefurahi sana Geoff ame-recognise the spirit ya JF kwa vitendo na hapo ndipo panaponipa nguvu zaidi

Namuomba mungu pia japo kwa leo aniondolee hasira za siasa za bongo na nitajitahidi nisifungue lile jamvi kwani mara nyingi huchochea mawazo hasi kichwani mwangu

peace
 
hizo bolded na underlined parts ndizo zinazokupa heshima mtindo mmoja!PEACE AND LOVE
 
- Naenda kwenye Ibada ya "Njia ya Msalaba". Wikiendi kidogo nipoteze uzalendo : Kuna "Night-Club" imenzishwa "opposite" TANESCO HQ Kinondoni - Du! We acha tu
 
Wow... i believe i can fly!!!!!!!!!!

Taratiiiibu naona ila biashara ya kulala kwenye foleni wakati narudi hom kwasbabu ya pombe inapungua... asubuhi hedex zimepungua, yaani hapo ndo kwanza siku sita

bia zimeshuka hadi nne na namuomba mungu anizidishie hadi zibaki mbili

nakumbuka hata kubeba matunda nikiwa narudi hom

smooooookkkyyyyyyyyyy!!!
 
aha kumbe mnafunga ehhh I didnt know... All the best may GOd accept ur fasts
 
Wow... i believe i can fly!!!!!!!!!!

Taratiiiibu naona ila biashara ya kulala kwenye foleni wakati narudi hom kwasbabu ya pombe inapungua... asubuhi hedex zimepungua, yaani hapo ndo kwanza siku sita

bia zimeshuka hadi nne na namuomba mungu anizidishie hadi zibaki mbili

nakumbuka hata kubeba matunda nikiwa narudi hom

smooooookkkyyyyyyyyyy!!!

Hongera, ila nilidhani tuko kwenye kutokunywa kabisa? Kaza buti mwana twende! :)
 
- Naenda kwenye Ibada ya "Njia ya Msalaba". Wikiendi kidogo nipoteze uzalendo : Kuna "Night-Club" imenzishwa "opposite" TANESCO HQ Kinondoni - Du! We acha tu

Mle niliingia siku moja, si unajua tena wengine tunaitwa ''first customers''....!!! Sikuvutiwa sana!
 
Duh, kweli mambo mengine hata formula hayana, jana nimechemsha aisee!!!
 
Back
Top Bottom