Tujaribu japo kwa mwezi tu...

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,705
11,035
Wakuu asalaam aleykum;

Jana katika pitapita yangu nikatua kwenye nyumba ya ibada ili kujiandaa vyema kwa ajili ya hiki kipindi cha kwaresma

wakati wote huo akili yangu ilikua fast iki-reflect jinsi maisha yanavyoenda, kazini, starehe, michezo (kidogo) na more important loved ones. Baada ya muda, (kwakweli ilifika wakati nikawa navusha hadi kupoteza kabisa ibada yenyewe); nikaona ngoja nijaribu kuweka mbili tatu ziwe agenda japo kwa siku kadhaa.

  • kupunguza tungi kwa zaidi ya 50% maana kwa sasa hazipiti siku mbili mtu lazma ushtue tena si kidogo
  • kuwahi hom ili kujiweka vizuri na kamanda
  • kuanza mazoezi ya nguvu ili kuondoa hizi love handles ambazo kwa jinzi zinavyokuwa kubwa mtu unaweza hata kuanikia combat la jeshi
  • kubadili kidogo mlo ili kusafisha ini na viungo vingine
  • kuepuka kabisa mazingira hatarishi yanaweza kuchochea kale kamchezo
hivyo basi, naomba ndugu za ngu tuwe pamoja kwenye hili na tujitahidi (kwa wale wanaoweza) kuboresha imani na matendo japo kwa mwezi tu ili tuanze maisha matamu zaidi

Its all about love, au sio?
 
sasa kwa sisi wenye ndoa zetu?...:D
 
sasa kwa sisi wenye ndoa zetu?...:D

hahaaaaa hongera mkuu kwa kupata mwenza:D

Hii ni kwa wote mazee, hata wale singo au walioingeji ni vyema wakawa na kautaratibu ka kufurahia maisha wakiwa more conscious na mazingira hatarishi kiafya, kipesa na kijamii kwa ujumla

huwezi amini, hata kuwahi kazini ni kutimiza wajibu kwa namna ya pekee
 
De Novo najaribu kukuelewa ila "bullet" ya mwisho ....kale ka mchezo ndio nini? Call a spade a spade.
 
kwenye hili niko makini sana mkuu!...
 
De Novo najaribu kukuelewa ila "bullet" ya mwisho ....kale ka mchezo ndio nini? Call a spade a spade.

Ok, i am calling it like it is... sometimes sisi wote, wake kwa waume, wanandoa na wasio wanandoa tumekua tunaruhusu mazingira ambayo mara nyingi yanalead to "mikasi" either kwa kudhamiria au bahati mbaya

My point ni kwamba tujaribu kuepusha, mfano ni kunywa saaana wakati uko na mtu wa opposite sex ambaye na yeye anakunywa saaana.... kuacha drugs and the likes
 
...ni kwa ajili ya kwaresma tu?..mimi nilidhani ni mabadiliko ambayo tungeyafanya siku zote za maisha yetu!(hasa hasa ukiwa na ndoa takatifu:D)
 
sasa kwa sisi wenye ndoa zetu?...:D

mfanye hivyo hivyo!

wahi kurud home
fanya mazoezi (wengine mazoezi wanafanyia kwenye 6*6)
sometimes usile menyu
tembelea yatima pale msimbaz centre
kama huwa unakunywa bia 5 kwa siku mwez huu kunywa 2
nk nk nk nk
 
understood!.........
 
...ni kwa ajili ya kwaresma tu?..mimi nilidhani ni mabadiliko ambayo tungeyafanya siku zote za maisha yetu!(hasa hasa ukiwa na ndoa takatifu:D)
bana weh..... hata mbuyu ulianza kama mchicha... tunaanza tartiiiibu kama treni vile mara mwaka

unajua raha ya hiki kipindi ni kwamba hata ile nguvu ya kupiga vichwa shetani inaongezeka aisee
 
kweli bwana mkubwa!....na kwa kuongezea tu ni kwamba kukiishi kipindi hichi kwa maadili zaidi ningeshauri waamini wote wafanye kila linalotakiwa wajiweke karibu na mungu kwa sala,kuhudhuria jumuiya ndogo ndogo,kuwatembelea yatima,kuhudhurua ibada jumapili n.k
 
De-Novo inabidi tuwe wasafi na watakatifu siku zote sio kwa msimu -kama Kwaresma sijui mfungo wa Ramadhani na kadharika

Thanks ..
 
Ni kipindi kizuri cha kupumzika bia ili kusafisha ini, kunywa maji mengi, juice na matunda kwa wingi! Pia ni kipindi kizuri kuacha ngono zembe!!

Lakini naomba kuuliza swali la msingi, kwa wale waliokwenda kwenye misa za Jumatano ya majivu jana, yale majivu maana yake nini?
 
mfanye hivyo hivyo!

wahi kurud home
fanya mazoezi (wengine mazoezi wanafanyia kwenye 6*6)
sometimes usile menyu
tembelea yatima pale msimbaz centre
kama huwa unakunywa bia 5 kwa siku mwez huu kunywa 2
nk nk nk nk
ni kweli kabisa, unajua kuna faida sana ya kupunguza haya magud taim tunayoyala mazee

Kazi kwangu ni kupunguza ile alcohol, yaani nikiangalia serengeti inavuja jasho ndio napata shida lakini nimepasi jana kwahiyo zimebaki 39.... tartiiibu najikongoja
 
bora unywe tu kiongozi....:D:D!inaonekana unakamilisha ratiba tu
 
De-Novo inabidi tuwe wasafi na watakatifu siku zote sio kwa msimu -kama Kwaresma sijui mfungo wa Ramadhani na kadharika

Thanks ..

dadangu hapa nakupa mia pasenti, lakini tukumbuke sisi si wakamilifu na lazma pawe ka pa kuanzia mema au kupunguza mabaya, na nyakati kama hizi za toba ndio mahala pake

mimi si mkamilifu na najua siko peke yangu, ila tukianzia kipindi hiki tunapata nguvu ya ziada kwale wanaotuombea na pia tunakuwa wengi kwa mpigo hivyo kupunguza vishawishi
 
Huu ni mwezi wa toba! tubu madhambi yako yote pia kuacha kufanya starehe zote ambazo hazimpendezi mwenyezi mungu hasa hiki kipindi cha toba, kuacha kwenda madisco na kumbi za starehe, kunywa pombe yaani anasa zote kwa kipindi hiki tuziweke kando, usiache kwenda kanisani tembelea wagonjwa mahospitalini,towa misaada kwa yatima wazee wasio jiweza jaribu kufunga
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom