Mmmmh! Mungu aepushe hili dada Kaunga maana halivumiliki kwakweliReally????
Au hujakutana na majaribu ya kutosha? Mkeo akicheat bado utampenda???
Mpendwa Zion Daughter ruksa kunitest, utafurahia sana haya maishaNaomba nikutest...
Mmmmh! Mungu aepushe hili dada Kaunga maana halivumiliki kwakweliReally????
Au hujakutana na majaribu ya kutosha? Mkeo akicheat bado utampenda???
Mpendwa Zion Daughter ruksa kunitest, utafurahia sana haya maishaNaomba nikutest...
Mmmmh! Mungu aepushe hili dada Kaunga maana halivumiliki kwakweli
Mpendwa Zion Daughter ruksa kunitest, utafurahia sana haya maisha
Nakubaliana nanyi kuwa hakuna penzi lisilo na sababu; kwani moja ya sababu universally ni "agizo la Mwenyezi Mungu" kwa agape love, na hata kwa He-She relationship ni kwasababu "you like each other enough to want to be together" pamoja na intimacy, security, kupata watoto etc.
Sasa tukirudi kuhusu dhana ya 'bila masharti', je pengine ni baadhi ya hizo sababu ndizo zinazalisha hizo conditions? mfano, nahitaji financial security; si nitalazimika kuweka kipato as kigezo (sharti); au kama mbaba anataka watoto basi age ya mtarajiwa si muhimu hata kama yeye ni mbabu?
Sio uzombie?
Halafu kwanini love connect mnaweka misururu ya conditions?
Ha ha ha..Sawa..Ninaanza kama ifuatavyo......
Eeeeh nakusikiliza
Mkuu Nicas Mtei nitakukaribisha uje utoe speech kidogo siku ya siku nikifuzu haya majaribio ya mpendwa Zion DaughterWow! What a lucky kwa Mokoyo
Je kuna kitu kama 'unconditional love'?
Nitaanzia Pm hapa watu watakufanya ufeli mtihani halafu iwe kisingizio..
Nitaanzia Pm hapa watu watakufanya ufeli mtihani halafu iwe kisingizio..
Mkuu Nicas Mtei nitakukaribisha uje utoe speech kidogo siku ya siku nikifuzu haya majaribio ya mpendwa Zion Daughter
Kichumbani zaid hyo.
haswaaa maana watu wazima hawapayuki bana, kiutu uzima tu then mwisho wa siku mnatuona tukitoa shukrani kwa kuunganishwa kupitia JF
haswaaa maana watu wazima hawapayuki bana, kiutu uzima tu then mwisho wa siku mnatuona tukitoa shukrani kwa kuunganishwa kupitia JF
Unconditional love is known as affection without any limitations. This term is sometimes associated with other terms such as true altruism, complete love, or "mother's/father's love."
Each area of expertise has a certain way of describing unconditional love, but most will agree that it is that type of love which has no bounds and is unchanging. It is a concept comparable to true love, a term which is more frequently used to describe love between lovers.
By contrast, unconditional love is frequently used to describe love between family members, comrades in arms and between others in highly committed relationships. An example of this is a parent's love for their child; no matter a test score, a life changing decision, an argument, or a strong belief, the amount of love that remains between this bond is seen as unchanging and unconditional.
In religion, unconditional love is thought to be part of The Four Loves; affection, friendship, romance, and unconditional. In ethology, or the study of animal behavior, unconditional love would refer to altruism which in turn refers to the behavior by individuals that increases the fitness of another while decreasing the fitness of the individual committing the act.
In psychology, unconditional love refers to a state of mind in which one has the goal of increasing the welfare of another, despite any evidence of benefit for oneself. The term is also widely used in family and couples counseling manuals.
Source: Unconditional love - Wikipedia, the free encyclopedia
Have a good day.
U never know!!!! Nicas Mtei atakuwa shahidi
U never know!!!! Nicas Mtei atakuwa shahidi
Anapoku test na wewe u mtest