Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,545
Nakubaliana nanyi kuwa hakuna penzi lisilo na sababu; kwani moja ya sababu universally ni "agizo la Mwenyezi Mungu" kwa agape love, na hata kwa He-She relationship ni kwasababu "you like each other enough to want to be together" pamoja na intimacy, security, kupata watoto etc.
Sasa tukirudi kuhusu dhana ya 'bila masharti', je pengine ni baadhi ya hizo sababu ndizo zinazalisha hizo conditions? mfano, nahitaji financial security; si nitalazimika kuweka kipato as kigezo (sharti); au kama mbaba anataka watoto basi age ya mtarajiwa si muhimu hata kama yeye ni mbabu?
Sio wote wanapenda wakimuwaza Mungu,kwamba ni agizo lake,wala watoto. nakubaliana na wewe kwamba sababu ndo zinaweza kuwa zinaleta conditions ila kuna wakati unakuwa na sababu na wala hizo sababu sizo zinazokufanya uwe na huyo mtu. Naweza kuwa nataka mwanaume mkristo,haina maana kwa kuwa mtu ni mkristo na mwanaume atakuwa wangu,kuna vitu vingine vinavyoelezeka na visivyoelezeka vinavyonifanya niwe na mtu na nisiwe na mtu mwingine ambaye pengine wana baadhi ya qualities wamefanana.