Bei Mbaya
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 2,262
- 857
umewahi kuwauliza kwa nini wanasema hivyo?na wanaosema mapenzi ni upofu/uchizi definitely watakuwa super vichaa
umenisoma na mimi kwa nini nasema nilivyosema?
umewahi kuwauliza kwa nini wanasema hivyo?na wanaosema mapenzi ni upofu/uchizi definitely watakuwa super vichaa
umewahi kuwauliza kwa nini wanasema hivyo?
umenisoma na mimi kwa nini nasema nilivyosema?
is it complete?, is it timeless?imagine, nmjua Bei mbaya kuwa ni abuser, jambazi sugu na sex offender lakini bado nampenda na ninataka kuishi naye. I mean nakupenda jinsi ulivyo na mitabia yako mibaya, l love you no matter what (unconditionally) Sio upofu huo?
Hapana dada @kaunga , sio kwa wazazi na watoto tu. Hata wapenzi huwa na unconditional love.Waoh, kwa maneno mengine, true unconditional love ni kwa mzazi mtoto tu?
Na vipi kwa wazazi ambao sio tu wanatelekeza watoto wao lakini hata ambao wanawapenda watoto ambao wanafanya vizuri kwenye maisha na kuwaignore wale ambao ni failures?
Yanatokea kwenye mahusiano ya mdada na mkaka kwenye real life au ni kwenye movie tu!
Un-conditional love exists but sio kwamba iko kwa maana ya kumpenda mtu bila sababu. Binadamu yeyote anayefikiri anakuwa na sababu za kufanya kile anachokifanya. Sidhani kama unakuwa zombie,ila nadhani unapunguza wakati mwingine kufikiri vizuri either kwa kutamani sana huyo mtu au kile unachokitaka kutoka kwake.....Kaunga.....:high5::high5::high5:
is it complete?, is it timeless?
Kaunga kwa ubinadam wangu siwezi 'tenda kwa ukamilifu nayowaza mema juu yako'
Ipo,Ipo kabisa.
Kuna dada ana nipenda sana,tumekua wote for 6years.
hatuku fanikiwa kuoana sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Lakini bado ana nipenda sana,sistahili kupendwa nae,she'z cute sana.
Ana stahili kuwa na ma-HB huko,sio sura ya kazi kama mimi,lakini ana
nipenda hadi kesho kutwa.
Kila niki tafakari upendo wake,(tofauti na ule wa Yesu,na upendo wa mama),..
huu wake pia nauita UNCONDITIONAL love.
Najua hatutaoana,lakini najua hata nitakae muoa hato nipenda kama huyu binti.
Unconditional love exists,tena sana tu,i have experienced it.
Karibu Michelle, long time jamani, are you okay?
Nimependa ulivosema hapo juu, umeleta tofauti
kati ya penzi "bila masharti" na "bila sababu"
Kaunga, Hakuna kitu kama penzi bila sababu.
But binadam anaweza kupenda bila masharti
Zion Daughter huyu Mokoyo ni mmoja kati ya hao wachacheKwa wanadamu ni ngumu sana.Tumezaliwa na ubinafsi..Kama wapo wenye unconditional love basi ni wachache sana..1Kor 13
Karibu Michelle, long time jamani, are you okay?
Nimependa ulivosema hapo juu, umeleta tofauti
kati ya penzi "bila masharti" na "bila sababu"
Kaunga, Hakuna kitu kama penzi bila sababu.
But binadam anaweza kupenda bila masharti
Zion Daughter huyu Mokoyo ni mmoja kati ya hao wachache
Zion Daughter huyu Mokoyo ni mmoja kati ya hao wachache