Tujadili: .....Unconditional love....

Tujadili: .....Unconditional love....

Nimeshazungumzia mara nyingi sana hapa jambo hili
'
Kitu kibaya zaidi hapa ni kuwa unaposikia neno love ni pale mapenzi au mahusiano ya kindoa yanapokuwa yanazungumzwa
'
Mwenye upendo hakuusisha na mahusiano ya kimapenzi bali kwenye maisha ya kawaida
'
Upendo wa bila masharti upo kwenye maisha,yaani kumbubali mtu bila masharti bila kuhusisha mahusiano ya kingono
'
Yaani nampenda Mjuni Lwambo sawa sawa na Nivea sawa sawa na baba yangu sawa sawa na sun wu

Nimeshawahi kusema hapa kuwa huu ndio upendo halisi,ule tunaouita leo upendo sio upendo,ule wa kindoa,sio upendo kwa kuwa lazima uchague,japokua hata uchaguzi ninaoumaanisha hapa sio unaofanywa leo
'
Upendo unamaana ya kuwaona binadamu wote sawa bila kuwabagua kwa aina yoyote ile,ukishabagua au kuchagua huo sio upendo
'
Hata dhana ya urafiki ni kinyume na upendo!
 
Last edited by a moderator:

.....mh will have to go back and dig inside me if i still have it.....wrong ....if....unconditional love! WTF!!! I dunno banaa!!!
yeuuuuwi najiogopa!!!

Hahaha, yaani kama nakuona unavyotafakari; unajiuliza na unajijibu mwisho ni confusion tu. lol

Hata nami, kabla snowhite hajamwaga mapwenti yake nilifikiri nishaijua hiyo unconditional love; sasa nami l am confused. So u r not alone my dear!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Eiyer hebu fafanua hapo, unaposema unampenda Kongosho sawasawa na Kiranga, sawasawa na Preta, unamaanisha hauna hauna masharti maalumu, (unconditinal).
Halafu tena unasema huo upendo ni tofauti na urafiki unanichanga,
Unamaanisha kuwa unaweza kuwa na rafiki usiyempenda halafu ukawa na unayempenda asiye rafiki?
Pia ninadhani Kaunga amemaanisha upendo wa kimapenzi, usitake ku daiveti​ topic.
 
Mkuu Mjuni Lwambo,
'
Nianze na urafiki,urafiki ni hali ya mtu kuwa na watu fulani ambao yupo karibu nao,mnakua mnasaidiana,kula pamoja n.k,faham kuwa watu hawa ni watu uliowachagua
'
Mtu asiekuwa rafiki yako uwezekano wa kwenda kumsalimia akiwa anaumwa ni mdogo au haupo kabisa
'
Sasa ukiangalia dhana hiyo ya urafiki inakinzana na kanuni ya upendo,upendo maana yake ni kumkubali YOYOTE bila masharti yoyote,sasa unapomfanyia jambo mtu kwa kuwa ni rafiki unakua unakiuka kanuni ya upendo
'
Mkuu,ukishakua na rafiki tayari unakua umeisaliti kanuni ya upendo achilia mbali kumpenda au kumchukia rafiki fulani
'
Ninaposema nampenda Mjuni Lwambo sawa sawa na Nivea ninamaanisha kutembea sawasawa katika kanuni ya upendo,hakuna upendo maalum,unaposema upendo maalumu tayari unakua umeleta daraja,kuwa kwako kuna maalum na wasiokua maalum,hapo unakua umekiuka kanuni ya upendo,upendo hauna matabaka au madaraja
'
Sijadaiveti mada,najaribu kuelezea upendo ni nini,kama Kaunga anazungumzia mahusiano ya kingono ni bora akasema mapenzi kwa kuwa upendo upo kwenye maisha kwa ujumla wake sio baadhi ya maeneo!
 
Unconditional love is too big , let me start by saying this: Unconditional love ina exist kwa Mungu tu kwa sababu ifuatayo ,
Yeye hutusamehe kila aina ya kosa tunalotenda na tutakalotenda baadae. Hutupenda jinsi tulivyo no matter what. Lkn kwetu sisi binadamu tuna conditional love ambayo inadiffer kati ya mtu na mtu. Kwa mfano mimi nikijua na kuthibitisha kua mume wangu amecheat hilo asahau he has to walk away from me hapo aaahh no way. Let say umejua mwenzako kua ni mchawi, muuaji sidhan kama utaendelea kumpenda hapo. Mara kadhaaa tumekosea kuhusu unconditional love, wengine wanasema ah mimi napenda unconditionaly lkn mtu huyo akigundulika kua amecheat ataitwa majina mengi tu.
But anyway pengine kuna muingiliano kati ya trust na love , naona kma viko pamoja ndio maana kikivunjika kimoja mambo yanaharibika although you can trust somebody without love but you can't love without trusting.
So unconditional love sidhani kama inapatikana kati yetu binadamu. We love for a reason, na kwenye sababu tunatofautiana. Na kawaida ya love hua ina mwanzo na ingrow day by day, jinsi mnavyokua close ndivyo love inavyoendelea kugrow...
Tukumbuke kuwa love inaweza kua destructed na kitu chochote hata kwa mtoto pata picha mtoto mwizi, anajiuza na mambo mengine machafu anafanya ukweli hautampenda ila utaendelea kumtambua kua ni mwanao na akiwa na shida utamhudumia and vice versa mtoto ni mwema huyo utampenda sana na utamtrust.
Kwa wazazi ipo conditional love let say umekosa elimu kisa baba mlevi na hakucare masomo yako au mama mwenye roho mbaya hapa bwana hautawapenda lkn utawatambua na kuwasaidia kama wazazi and vice versa wakiwa wema utawapenda sana. So let us think outside the box about unconditional love........
 
Mungu hamchukii muovu?

Ni mdudu gani huyu?

Je kuna kitu kama 'unconditional love'?

Inakuwaje? Haina tofauti na being a Zombie?

Kinyume chake ndio conditional love??????
mimi ningesema hivi,there is no Unconditional love....love without conditional....
Upendo usio na mashart,mimi siamini upendo bila masharti.
Hebu tuangalie Asili ya upendo kwa maoni ya kawaida kabisa,Mungu alimpenda mwanadamu,bt hakumuacha awe huru tu afanye atakalo alimpa mashart jinsi ya kuishi ktk ille bustani,matunda yapi ya kula na yapi yasiliwe.
Pia Angalia Jinsi Mungu anapompa Binadamu Amri 10 ili aishi vema,mashart yanafanya kuwe na maisha matamu.
Upendo bila Masharti labda malaika,ili upendo ukamilike lazima kuwe na masharti mtu ayajue,na ayakubali,mtu akikupenda bila mashart/kanuni namna mtakavyoishi ili mvumiliane huyo anakudanganya au kashikwa na upofu ambao ni dhambi.Mungu mwenyewe anatupenda bt katupa masharti sembuse binadamu mwenzako.INA MAANA KITU UNACHOTAKA/UNACHOPENDA NA MWENZIO NI HIVYO HIVYO JAMANI?NO LAZIMA MTOFAUTIANE ILI LILE GAP NDO UPENDO WENYEWE UNAPOJIDHIHIRISHA.
 
Mungu hamchukii muovu?
Mungu hamchukii muovu bali huuchukia uovu. Kwetu sisi binadamu inakua ngumu kutenganisha kati ya muovu na uovu lkn kwa Mungu yeye anaweza na ndio maana unapoomba msamaha anakusamehe haijalishi ulipotenda kosa ulikua unajua au la and he loves you as if hujawahi kosea . So to me najiona kwangu ni ngumu kutenganisha hayo mambo mawili yaani umetaka kuniua, umecheat nk halafu nisamehe tuishi kama mwanzo hapana nitakua nasema uongo dear.
 
Mungu hamchukii muovu?
Siku moja mume wangu aliniambia "I love you unconditionally", nikamuambia hapana sio kweli na nikampa mfano mmoja tu ,nikamuuliza ukinikuta nacheat bado utanipenda kama mwanzo akasema nop. Ndipo niliposema we have conditional love, not otherwise.
 
imagine, nmjua Bei mbaya kuwa ni abuser, jambazi sugu na sex offender lakini bado nampenda na ninataka kuishi naye. I mean nakupenda jinsi ulivyo na mitabia yako mibaya, l love you no matter what (unconditionally) Sio upofu huo?
ukimpenda hivyo alivyo unakuwa hujampenda ila una pre tend kumpenda...
Upendo asili yake ni kwa Mungu,So Mungu hapendi jambazi,wazinifu,ndio maana ametoa amri zake 10,anaezivunja anajiweka mwenyewe mbali na upendo wa Mungu,iweje Binadamu ampende mtu kama huyo bila Mashart yeyote?
 
Mungu hamchukii muovu bali huuchukia uovu. Kwetu sisi binadamu inakua ngumu kutenganisha kati ya muovu na uovu lkn kwa Mungu yeye anaweza na ndio maana unapoomba msamaha anakusamehe haijalishi ulipotenda kosa ulikua unajua au la and he loves you as if hujawahi kosea . So to me najiona kwangu ni ngumu kutenganisha hayo mambo mawili yaani umetaka kuniua, umecheat nk halafu nisamehe tuishi kama mwanzo hapana nitakua nasema uongo dear.

Uovu ni nini? Sio shetani? Mungu hamchukii shetani? Msome monaco hapo juu uone jinsi gani Mungu katupa conditions.
 
Last edited by a moderator:
Soma waraka wa Paul kwa Warumi uone jinsi gani Mungu alivyokuwa na unconditional love kiasi kwamba aka mtoa mwanawe ili abebe dhambi zetu.
mimi ningesema hivi,there is no Unconditional love....love without conditional....
Upendo usio na mashart,mimi siamini upendo bila masharti.
Hebu tuangalie Asili ya upendo kwa maoni ya kawaida kabisa,Mungu alimpenda mwanadamu,bt hakumuacha awe huru tu afanye atakalo alimpa mashart jinsi ya kuishi ktk ille bustani,matunda yapi ya kula na yapi yasiliwe.
Pia Angalia Jinsi Mungu anapompa Binadamu Amri 10 ili aishi vema,mashart yanafanya kuwe na maisha matamu.
Upendo bila Masharti labda malaika,ili upendo ukamilike lazima kuwe na masharti mtu ayajue,na ayakubali,mtu akikupenda bila mashart/kanuni namna mtakavyoishi ili mvumiliane huyo anakudanganya au kashikwa na upofu ambao ni dhambi.Mungu mwenyewe anatupenda bt katupa masharti sembuse binadamu mwenzako.INA MAANA KITU UNACHOTAKA/UNACHOPENDA NA MWENZIO NI HIVYO HIVYO JAMANI?NO LAZIMA MTOFAUTIANE ILI LILE GAP NDO UPENDO WENYEWE UNAPOJIDHIHIRISHA.
 
Mutual love (from both of you). Helping and taking care of each other!!! Ipo hii siku hizi? Siku hizi kila kitu ni fake kama bidhaa nyingi za kichina!!!!
 
ukimpenda hivyo alivyo unakuwa hujampenda ila una pre tend kumpenda...
Upendo asili yake ni kwa Mungu,So Mungu hapendi jambazi,wazinifu,ndio maana ametoa amri zake 10,anaezivunja anajiweka mwenyewe mbali na upendo wa Mungu,iweje Binadamu ampende mtu kama huyo bila Mashart yeyote?

Na yule anayeendelea kumpenda mumewe hata pale ambapo ameparalyse the important lower half of his body; hiyo sio unconditional love?
 
ni sawa na kusema accidental love eehh!!! Kaunga ???? mnajikuta mmependana, mara mnajikuta geto, mara kitandani, eehh mara mnajikuta watupu.. bila hata kusemezana.si ndio!!??
 
Last edited by a moderator:
Na yule anayeendelea kumpenda mumewe hata pale ambapo ameparalyse the important lower half of his body; hiyo sio unconditional love?
Unajua hii mada iko so general inagusa tabia,Maumbile,mazingira,kipato nk,kama tutaviweka hivi vyote kwa pamoja.Mungu aliangalia tabia ambayo huzaa mengine,hakuangalia maumbile,kipato,yeye ali deal na behaviour change....ambayo binadamu anaweza ku control mwenyewe,bt maumbile hakuna binadamu anaeweza kucontrol,Kuparalise ni kubadilika kwa maumbile ya mtu na bado akawa anapendwa hapo tumeangalia maumbile,ambayo kwa binadamu ndo tunaangalia sana sana,je vipi kuhusu tabia,kipato,mazingira,nk vya huyo huyo alie paralize?au vyenyewe tumeviweka constant kuwa havibadiliki?hivyo haviwezi kubadilisha upendo wetu?
 
Uovu ni nini? Sio shetani? Mungu hamchukii shetani? Msome monaco hapo juu uone jinsi gani Mungu katupa conditions.
Ofcourse Mungu ametupa conditions za kuishi hapa duniani. Kuna kuishi kwa sheria na kuishi kwa upendo ni vitu viwili tofauti, Sheria ilishindwa. Sipendi kwenda deep sana kwa kua tuna imani tofauti tofauti. In general unaposema unconditional love ni kwamba unapendwa au kupenda pasipo sheria na ikitokea mtu huyo kakosea bado wewe unampenda tu haijalishi ametenda kosa gani. Sheria tunapozifuata zinatusaidia mwisho wetu na wala huwa hatuwezi kuzikamilisha. Love inakufanya uende more steps ahead wakati sheria inakulimit. Love aliyonayo Mungu kwetu haina sheria na ndio maana kila wakati anasisitiza tupendane kama alivyotupenda , unajua yeye ndiye aliyetupenda kwanza na anafanya kila jitihada kutuonyesha pendo lake. Sheria inakufanya uone makosa kila mara but love inakufanya uone huruma, unapenda na unataka kufanya zaidi.
Uovu ni kufanya kinyume cha matakwa ya anayekupenda/unaemenda. Shetani ni muovu na mwana wa upotevu. Lkn sisi binadamu tumepewa utashi wa kuweza kujua jema na baya na tumepewa free will. Mungu hatuingilii kwenye maamuzi yetu . tunayo tofauti kubwa kati yetu sisi na shetani . Yeye hana msamaha na wala hapendwi na ni adui wa Mungu ,pia ni adui yetu, wakati sisi ni watu wake na tukitaka twaweza kuwa watoto wake , upo utaratibu wa kuwa mwana. Sasa ni mara chache sana mtu anapata kishawishi toka kwa shetani na ndio maana kinaitwa kishawishi mpaka ukubali kushawishika ndipo unapotenda uovu, Hapa hata shetani huwa anasubiri mpaka ukubali.
Mungu ni adui wa uovu na si mwanadamu. Yeye anakupenda jinsi ulivyo, hata kama ni muuaji anakupenda na anachukia uovu wako. Ni ngumu kuiona kibinadamu sababu mimi binafsi siwezi kutenganisha kati ya tendo na mtenda, ni uwezo wa kimungu. Love imeiacha sheria mbali sana
 
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabiri; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wo wote? (1Wakorintho 13:4-8)

Hii ndo unconditional love,ambayo sasa ni nadra sana kuipata,nadhani utaipata kwa mtoto wako mdogo tu,mfano ataamini kila kitu anachosema mzazi wake.
 
Back
Top Bottom