Hivi wanachama wa NSSF waliukizwa kama wamekubali fedha zao zitumike katika ujenzi wa daraja la kulipia?
Maana kama hawajaulizwa makisa yanaongezeka.
1. Hawajaulizwa hela zao kutumika kujenga daraja.
2. Hela zao zimetumika kujenga daraja.
3. Baada ya hela zao kutumika kujenga daraja, wanachangishwa tena kuzirudisha fedha zao. Hivyo wanachangia NSSF mara mbili au zaidi.
Mkubwa hizo ni baadhi ya kazia za moja kwa moja, hatujaongelea kero na usumbufu watakaoupata kwa ama wao wenyewe au ndugu na jamaa zao kuchelewa kupata huduma au kuwahi mahitaji ya muhimu kutokana na kukosa pesa za kulipia daraja lilijengwa kwa pesa zao.
Just to play the so called "devil's advocate"...
Hili jambo lilipita bungeni na kukubaliwa?
Maana kama lilipita bungeni, angalau wanaweza kusema wawakilishi wa wananchi walilikubali kwa niaba ya wananchi, hawakuweza kupiga kura nchi nzima kwa jambo hili wakati wananchi washachagua wawakilishi wao bungeni.
Mimi kwangu jambo kubwa kabisa ni consent. Huwezi kutumia fedha za mafao za mtu bila kupata idhini yake.
hahahaha,short and clear.Kama tutadhibiti matumizi ya mapato na huu uwizi..hakuna haja ya kulipia.Ulaya kama vile Sweden wanalipia kuongeza kipato ili watuletee misaada na sisi tunaiiba....SHAME ON US.
tatizo lako umezoea kila kitu kwako ni ushabiki..Kama hutaki kulipa beba gari lako mgongoni na upige mbizi!
kweli kabisa mkuuKama vile kodi misaada tunayopewa makusanyo ya halnashauri nk nk
Enhe nambie sasa... daraja limejengwa na Nssf na serikali. nssf 60% na serikali 40% za pesa..Sawa tungoje
Hela itakayorudi ni ya serukali ama ya nssf? Kama hamna muda wa mwisho kurudisha gharama hiyo changaEnhe nambie sasa... daraja limejengwa na Nssf na serikali. nssf 60% na serikali 40% za pesa..
kutokana na hilo ni kwamba pesa za watu lazima zirudishwe ili zitumike kujenga miradi mingine.
Watakao lipa ni wenye magari.. pikipiki.. bajaji na baiskeli za mizigo.
watembea kwa miguu hawata lipa..
na muda wa kulipia haujajulikana.
Vipi unamawazo mengine.?
Mi nimeelewa..
Ni ya NSSF kwa nilivyoelewa... ila swala la muda kutojulikana ndio utata ulipo hapo..!Hela itakayorudi ni ya serukali ama ya nssf? Kama hamna muda wa mwisho kurudisha gharama hiyo changa
Mimi nafikiri bora lingekuwa deni kama kodi yetu imetumika halafu nilipishwe!! Sasa dhana ya serikali kukusanya kodi ili iweze kutoa huduma iko wapi hili si Sawa bora nssf wafanye kama deni ili walipwe lakini sio kupitia tozoNi ya NSSF kwa nilivyoelewa... ila swala la muda kutojulikana ndio utata ulipo hapo..!
Kuna haja ya maelezo zaidi katika hili..Mimi nafikiri bora lingekuwa deni kama kodi yetu imetumika halafu nilipishwe!! Sasa dhana ya serikali kukusanya kodi ili iweze kutoa huduma iko wapi hili si Sawa bora nssf wafanye kama deni ili walipwe lakini sio kupitia tozo
Ndugu yangu, gharama hazina utaifa.sijui unalinganisha nini hapo gari kufika hapa limefika kwa kodi na kila mwaka linapa motor vehicle ambazo still ni kodi kodi zenyewe milioni kumi mpaka 30 tena ulipie kupita katika road zilizojengwa kwa kodi izo..izo nchi hawana kodi ya mamilion katika magari ni kununua tuu na kulipeleka likachekiwe road worth tuu hata wakilipia bara bara sawa tuu..
Mfumo wa uchumi wa nchi hii sio wa kijamaa,ni muhimu kuchangia uendeshaji wa huduma mbali mbali zitolewazo na serikali kwa jamiiNdomana hata mimi huwa najiuliza, kwani nini tunalipaga nauli kwenye vivuko vya serikali??
Hapo ndo wamemaliza sidhana kama wana zaidi hili ni giza kwenye mwanga tupiga hatua moja mbele na kumi nyuma na kurudi na kujipongezaKuna haja ya maelezo zaidi katika hili..
Ukipigika lazima utatembea kwa mguu, hivyo hautalipa kitu.PRONDO.......yote uliyoyasema ni sahihi....lakini Ndugu elewa watu wanapigika kwelikweli.....Naishia hapo.