Tujadili Uhalali wa Tozo Daraja la Kigamboni

Hivi wanachama wa NSSF waliukizwa kama wamekubali fedha zao zitumike katika ujenzi wa daraja la kulipia?

Maana kama hawajaulizwa makisa yanaongezeka.

1. Hawajaulizwa hela zao kutumika kujenga daraja.

2. Hela zao zimetumika kujenga daraja.

3. Baada ya hela zao kutumika kujenga daraja, wanachangishwa tena kuzirudisha fedha zao. Hivyo wanachangia NSSF mara mbili au zaidi.

Mkubwa hizo ni baadhi ya kazia za moja kwa moja, hatujaongelea kero na usumbufu watakaoupata kwa ama wao wenyewe au ndugu na jamaa zao kuchelewa kupata huduma au kuwahi mahitaji ya muhimu kutokana na kukosa pesa za kulipia daraja lilijengwa kwa pesa zao.
 
Just to play the so called "devil's advocate"...
Hili jambo lilipita bungeni na kukubaliwa?

Maana kama lilipita bungeni, angalau wanaweza kusema wawakilishi wa wananchi walilikubali kwa niaba ya wananchi, hawakuweza kupiga kura nchi nzima kwa jambo hili wakati wananchi washachagua wawakilishi wao bungeni.

Mimi kwangu jambo kubwa kabisa ni consent. Huwezi kutumia fedha za mafao za mtu bila kupata idhini yake.
 
Achilia mbali kupita bungeni au kupata ridhaa mkuu, sifikirii hata kama kuna mwanachama wa NSSF anaelewa chochote kuhusu huo mkataba wa ujenzi wa daraja. Tunasahau kwamba hata kama jambo zuri likifanyika bila kufuata taratibu na tukafurahia, ipo siku taratibu zitavunjwa kwa jambo litakalo tuumiza.
 
Sawa tungoje
Enhe nambie sasa... daraja limejengwa na Nssf na serikali. nssf 60% na serikali 40% za pesa..
kutokana na hilo ni kwamba pesa za watu lazima zirudishwe ili zitumike kujenga miradi mingine.

Watakao lipa ni wenye magari.. pikipiki.. bajaji na baiskeli za mizigo.
watembea kwa miguu hawata lipa..
na muda wa kulipia haujajulikana.

Vipi unamawazo mengine.?
Mi nimeelewa..
 
Hela itakayorudi ni ya serukali ama ya nssf? Kama hamna muda wa mwisho kurudisha gharama hiyo changa
 
Ni ya NSSF kwa nilivyoelewa... ila swala la muda kutojulikana ndio utata ulipo hapo..!
Mimi nafikiri bora lingekuwa deni kama kodi yetu imetumika halafu nilipishwe!! Sasa dhana ya serikali kukusanya kodi ili iweze kutoa huduma iko wapi hili si Sawa bora nssf wafanye kama deni ili walipwe lakini sio kupitia tozo
 
sijui unalinganisha nini hapo gari kufika hapa limefika kwa kodi na kila mwaka linapa motor vehicle ambazo still ni kodi kodi zenyewe milioni kumi mpaka 30 tena ulipie kupita katika road zilizojengwa kwa kodi izo..izo nchi hawana kodi ya mamilion katika magari ni kununua tuu na kulipeleka likachekiwe road worth tuu hata wakilipia bara bara sawa tuu..
Ndugu yangu, gharama hazina utaifa.
 
Tulipie tu, hakuna jinsi, mbona tunalipia nyumba zetu kodi ya majengo, na ni mali yetu. Mbona ubungo unalipia kuingia kumpokea mgeni? Mimi naona hata kodi ya kichwa irudi tu, hakuna namna, leseni ya baiskeli nayo irudi tu,hata wamiliki wa mikokoteni nao walipie kasoro wheelbarrow kwamaana ni zana kazi, kodi ya mifugo nayo, unalipia wanyama wote unaofuga nyumbani kasoro kuku na bata tu, hata paka pia nae alipiwe kodi, Hatutaki msaada wa Wazungu.
 
Mkuu Goodluck Mshana umenikumbusha mbali sana.
NEHRU PLACE
RAJIV CHOWK
PALIKA BAZAAR
NOIDA
AGGRA - TAJ MAHAL
CHANDNI CHOWK
VAISHALI
CENTRAL SECRETARIET
INDIRA GANDHI INT. AIRPORT
Ahsante sana mkuu
 
NSSF ni chombo cha serikali ila pesa zinazokusanywa si za serikali. kwa kuwa NSSF eventually ended up contributing 100%, then lile daraja ni mali ya NSSF na si serikali. Hivyo inabidi ulipie ili michango ya wana-NSSF irudishwe na waweze kulipwa mafao yao. usiwe kama nyumbu!
 
ImageUploadedByJamiiForums1461076031.979986.jpg

Kwa wasiotaka kulipia daraja:

Nunua sQuba, linatembea majini.

Au

Submarine Sports Car

ImageUploadedByJamiiForums1461076910.678052.jpg

Unapiga mbizi nalo bila wasiwasi.

Usisahau kupiga selfie.
 
Back
Top Bottom