GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,647
- 109,036
Yawezekana ikawa ni nia njema tu ya Serikali ila 'Kinachonishangaza' na 'Kunisikitisha' hawa Wote 'wanaojengewa' wana Majumba yao mengi sana.
Nope. Kuwashambulia maraisi wote wastaafu kwa kujengewa nyumba hakutamvusha.TAL wamekupa hoja nyingine. Mungu bwana hatupi mja wake. This is your leverage point. It will add to you a few votes.
huwezi sema kila mtu atapewa 25ml haiwzekani kabisa suala hapa ni ujenzi wa sky screper unajua upo ujenzi fulani hivi kwa wenzetu jengo moja linaweza anzia posta mpaka mbagala nyumba 2000 nenda kanada uone nyumba nyingi kuliko idadi ya watukama milioni 50 kila kijiji hazikupatikana,25 kwa kila mtz ni ndoto zile zile za kuongeza mishara maradufu huku ukiondoa kodi.
Huyo chizi muulize na yeye mbona ameshindwa kupanga chumba badala yake anaishi kwa shemeji yakeSAWA PUNGUANI MKUBWA, CDM KAMA SIO KUTUMIA AKILI ZA KUWA WAHIFADHI FEDHA KAMPENI HIZI WANGELIFANYAJE MAANA SEREKALI IMENYIMA KABISA HELA ZA KAMPENI NA KUTOA KUDUCHU MNO KWA DHAMIRA VIFELI KWENYE KAMPENI KUMBE WENZAO WAKAWA NA AKILI KUBWA ZAIDI MPAKA WAMEKODI NA CHOPA KITU AMBACHO KINAWASHANGAZA SANA CCM "'mradi wa nyumba bora kwa watanzania wote wanyonge upo pale pale kila familia ya mtanzania na nyumba moja" ndio mkakati wa LISSU 2020-2025
Keki ya TAIFA...Bwashee acha uchochezi!
Wapo wapuuzi ambao wanaona hili jambo halituhusu. Hizi ni fedha za walipa kodi. Nimeiona hiyo nyumba ya Kikwete, utadhani ni nyumba ya familia ya watu 50. Huo, ni ufujaji wa fedha tu. Kwa vile wanajua HAWAWEZI KUFANYWA CHOCHOTE NA YEYOTE, basi twende tu. Tutafika!Haya yame toka wapi ,bado haujajibu Swali lililo Mezani Mkuu.
Hizo nyumba zinajengwa kisheria. Marais wakistaafu wanatembelewa na viongozi mbali mbali kutoka nje mnafikiri hao viongozi wakiwatembelea watalala wapi? Former presidents hawawezi kuishi kama nyinyi malofa. Kila ndege huruka kwa mbawa zake. Tanzania tuna uwezo wa kuwajengea former presidents mahali pa kuishi kwa kufanya kazi waliyokuwa wamepewa.Wapo wapuuzi ambao wanaona hili jambo halituhusu. Hizi ni fedha za walipa kodi. Nimeiona hiyo nyumba ya Kikwete, utadhani ni nyumba ya familia ya watu 50. Huo, ni ufujaji wa fedha tu. Kwa vile wanajua HAWAWEZI KUFANYWA CHOCHOTE NA YEYOTE, basi twende tu. Tutafika!
28/10/2020 ni siku ya kuyabariki haya, au kuharamisha. Kazi kwetu!
How?Kwa maoni yangu ni wizi wa Mali za umma...
Tafadhali sheikh ondoa neno lofa tafadhali sanaHizo nyumba zinajengwa kisheria. Marais wakistaafu wanatembelewa na viongozi mbali mbali kutoka nje mnafikiri hao viongozi wakiwatembelea watalala wapi? Former presidents hawawezi kuishi kama nyinyi malofa. Kila ndege huruka kwa mbawa zake. Tanzania tuna uwezo wa kuwajengea former presidents mahali pa kuishi kwa kufanya kazi waliyokuwa wamepewa.
Hapa ndipo wale wasioelewa vizuri wataelewa maana halisi ya neno UFISADI (kleptocracy) - yaani WIZI uliohalalishwa ndani ya serikali. Hii ni pamoja na malipo ya kufuru ya wabunge. Waliipisha wenyewe hizo sheria ili wakwibe. Ukilalamika wanakwambia ni matakwa ya sheria. Ndio maana nchi hii ya Tz inahitaji mabadiliko makubwa ya mfumo wa kiutawala. Huwezi kumsikia 'mzalendo' Magufuli akitaja hata kwa mbali!!! Hii imewafanya hata wananchi wanaobiwa, waone ni haki yao wezi kuiba na wao kuibiwa!!!!! Hapa panahitajika mabadiliko ya kifikira/kimtazamo (mindset). Fursa tuliyokuwa nayo ni hii tu ya TAL kuingia madarakani. Ameonyesha wazi kukerwa na huu mfumo-fisadi.Hii ndio sheria ya hovyo kabisa kwa nchi masikini zaidi duniani. Inakuwaje mtu ambaye anajilipa mamilioni ya pesa tena pasipo kutozwa kodi na anayegharamikiwa na serikali kwa kila kitu ajengewe nyumba kwa jasho la masikini ambae hata akipiga tu miayo kwa njaa anatozwa kodi tena kandamizi?
Nitajikita kwa number 5.1. Naomba kujua nyumba Mwalimu aliyojengewa na serikali ilijengwa lini na wapi?
2. Naomba kujua Mkapa alijengewa nyumba yake wapi?
3. Naomba kujua kwa changamoto wananchi tulizonazo Hawa wazee wakitoa sadaka hizo pesa za nyumba zikajenga japo hospital haitakubalika?
4. Hawa viongozi wanaojengewa nyumba baada yakuondoka madarakani wakiwa wazee, awali walikua wanaishi wapi?
5. Natambua ni takwa la kisheria ila najiuliza kwanini sasa? Mwinyi kastaafu muda gani?
6. Kwa marais wa Zanzibar, je huu utaratibu unawahusu?
Ushauri
Haya mafao ya nyumba za marais yafutwe, sheria itamkwe atalipwa kiasi flani (thamani ya hiyo nyumba) na Mstaafu atawajibika kuchagua eneo ambapo fedha hizo zitatumika kujenga mradi wa wananchi Kama ukumbusho.
Kama wewe una akili fupi kama ya mjusi kafiri unafikiri ni wote??Mkuu tafuta maisha yako. Ukiwaza yao utachelewa kufanya yako
Ni jeuri tu linawasumbuaHii nyumba ya Rais mstaafu Mzee Mwinyi iliyozinduliwa leo Karibu na Uchaguzi,huenda ikapunguza Kura nyingi sana za CCM Wakati huu wa uchaguzi.Maana kwa Wa-Tanzania walio WENGI hii kitu kichwa chenye aKili ya kawaida hakiwezi "ku-acomodate" hii kitu.Huyo ofisa aliyeshauri hii kitu ifanyike kipindi Hiki Amechemsha.Ni sawa na Unakula na kipofu sahani moja Halafu unamshika mkono kumuelekeza nyama zipo Hapa.
Nimejikuta nakutukana.1. Naomba kujua nyumba Mwalimu aliyojengewa na serikali ilijengwa lini na wapi?
2. Naomba kujua Mkapa alijengewa nyumba yake wapi?
3. Naomba kujua kwa changamoto wananchi tulizonazo Hawa wazee wakitoa sadaka hizo pesa za nyumba zikajenga japo hospital haitakubalika?
4. Hawa viongozi wanaojengewa nyumba baada yakuondoka madarakani wakiwa wazee, awali walikua wanaishi wapi?
5. Natambua ni takwa la kisheria ila najiuliza kwanini sasa? Mwinyi kastaafu muda gani?
6. Kwa marais wa Zanzibar, je huu utaratibu unawahusu?
Ushauri
Haya mafao ya nyumba za marais yafutwe, sheria itamkwe atalipwa kiasi flani (thamani ya hiyo nyumba) na Mstaafu atawajibika kuchagua eneo ambapo fedha hizo zitatumika kujenga mradi wa wananchi Kama ukumbusho.