Tujadili nyumba wanazojengewa Marais Wastaafu Tanzania

SAWA PUNGUANI MKUBWA, CDM KAMA SIO KUTUMIA AKILI ZA KUWA WAHIFADHI FEDHA KAMPENI HIZI WANGELIFANYAJE MAANA SEREKALI IMENYIMA KABISA HELA ZA KAMPENI NA KUTOA KUDUCHU MNO KWA DHAMIRA VIFELI KWENYE KAMPENI KUMBE WENZAO WAKAWA NA AKILI KUBWA ZAIDI MPAKA WAMEKODI NA CHOPA KITU AMBACHO KINAWASHANGAZA SANA CCM "'mradi wa nyumba bora kwa watanzania wote wanyonge upo pale pale kila familia ya mtanzania na nyumba moja" ndio mkakati wa LISSU 2020-2025
Acha kujibeba ufala.

And stop saying nonsense.
 
Hii ni hulka ya viongozi wote wa nchi masikini na hasa Afrika. Hujifikiria wao na kutaka kujikusanyia kila kitu.

Marais wote wanapokuwa madarakani nyumba zao hukarabatiwa kwa gharama ya serikali kwavile zinakuwa ni ''Ikulu'' wakati wowote. Hivyo, Rais Mwinyi na Kikwete wana nyumba zao.

Pili, viongozi wastaafu wanapewa asilimia 80% ya mshahara wao( Rejea mafao ya viongozi wa juu)
Wanapewa ulinzi na huduma zote kama zile walizopata wakiwa Ikulu.

Hawa si wanyonge

Nyumba wanazojengewa thamani zake ni kubwa kuliko vituo vya afya.

Lakini muhimu ni kuwatazama kama wana manufaa yoyote kwa Taifa baada ya uongozi.
Hawa kazi yao ni kupigia debe CCM na chama kingefanya taratibu za kuwahudumia si kodi za wananchi

Hawana kingine tunachoweza kujivunia kama walipa kodi. Hili ni hulka tu ya kujikusanyia na kujilimbikizia kwa gharama za wananchi. Tunahitaji vituo vya afya vya umma si nyumba binafsi

JokaKuu tindo Pascal Mayalla
 
1. Naomba kujua nyumba Mwalimu aliyojengewa na serikali ilijengwa lini na wapi?

2. Naomba kujua Mkapa alijengewa nyumba yake wapi?

3. Naomba kujua kwa changamoto wananchi tulizonazo Hawa wazee wakitoa sadaka hizo pesa za nyumba zikajenga japo hospital haitakubalika?

4. Hawa viongozi wanaojengewa nyumba baada yakuondoka madarakani wakiwa wazee, awali walikua wanaishi wapi?

5. Natambua ni takwa la kisheria ila najiuliza kwanini sasa? Mwinyi kastaafu muda gani?

6. Kwa marais wa Zanzibar, je huu utaratibu unawahusu?

Ushauri
Haya mafao ya nyumba za marais yafutwe, sheria itamkwe atalipwa kiasi flani (thamani ya hiyo nyumba) na Mstaafu atawajibika kuchagua eneo ambapo fedha hizo zitatumika kujenga mradi wa wananchi Kama ukumbusho.
Ni upumbavu na ufujaji wa fedha za umma. Mwinyi karibu anakufa. Kumjengea nyumba kuna maana gani! Utopolo mtupu.
 
Ni rushwa ya kuwaomba msamaha ili waokoe jahazi bora angewapa rushwa wananchi, hapo ni sawa na kununua wanaopigiwa kura badala ya wapiga kura. Watz walishafanya maamuzi atulie tu
 
Hii ni hulka ya viongozi wote wa nchi masikini na hasa Afrika. Hujifikiria wao na kutaka kujikusanyia kila kitu.

Marais wote wanapokuwa madarakani nyumba zao hukarabatiwa kwa gharama ya serikali kwavile zinakuwa ni ''Ikulu'' wakati wowote. Hivyo, Rais Mwinyi na Kikwete wana nyumba zao.

Pili, viongozi wastaafu wanapewa asilimia 80% ya mshahara wao( Rejea mafao ya viongozi wa juu)
Wanapewa ulinzi na huduma zote kama zile walizopata wakiwa Ikulu.

Hawa si wanyonge

Nyumba wanazojengewa thamani zake ni kubwa kuliko vituo vya afya.

Lakini muhimu ni kuwatazama kama wana manufaa yoyote kwa Taifa baada ya uongozi.
Hawa kazi yao ni kupigia debe CCM na chama kingefanya taratibu za kuwahudumia si kodi za wananchi

Hawana kingine tunachoweza kujivunia kama walipa kodi. Hili ni hulka tu ya kujikusanyia na kujilimbikizia kwa gharama za wananchi. Tunahitaji vituo vya afya vya umma si nyumba binafsi

JokaKuu tindo Pascal Mayalla
Hii ni sababu moja kuu ya kuipiga chini CCM 28/10/2020. Chama cha wezi na wahuni tu.
 
Jiwe ajawahi kufanya Jambo lisilo na manufaa kwake binafsi roho hio hana kawapa rushwa ya kuwapooza wamsaidie but upepo wa wake, anavuna ulimi wake umemponza
 
Hizo nyumba zinajengwa kisheria. Marais wakistaafu wanatembelewa na viongozi mbali mbali kutoka nje mnafikiri hao viongozi wakiwatembelea watalala wapi? Former presidents hawawezi kuishi kama nyinyi malofa. Kila ndege huruka kwa mbawa zake. Tanzania tuna uwezo wa kuwajengea former presidents mahali pa kuishi kwa kufanya kazi waliyokuwa wamepewa.
Ni kweli uliyoyasema, lakini kwa nini nyumba ya raisi wa awamu ya pili imechelewa kujengwa wakati nyumba ya awamu ya tatu ilishakamilika na kukabidhiwa muhusika? Na kwa nini zinakabidhiwa sasa hivi wakati nyumba ya mheshimiwa Kikwete bado haijakamilika? Jee haya si mambo ya kampeni tu? Au mheshimiwa raisi anaona bora ayamalize kabisa huko mbele hakutabiriki?
 
Ni kweli kwani Mwinyi kaiba mashamba ya watu Morogoro ekari zaidi ya 60 000 ,Magufuli naye kajichukulia mashamba ya watu Tanga, Mkapa alijichukulia mashamba ya watu zaidi ya ekari 60 000

Mwisho wa siku wanachota na pesa yetu ya kodi wanajengeana majumba ,Mwisho wao ni Oktoba 28
Yes then kuna mijitu inawachagua pumbaf zao
 
Hizo nyumba zinajengwa kisheria. Marais wakistaafu wanatembelewa na viongozi mbali mbali kutoka nje mnafikiri hao viongozi wakiwatembelea watalala wapi? Former presidents hawawezi kuishi kama nyinyi malofa. Kila ndege huruka kwa mbawa zake. Tanzania tuna uwezo wa kuwajengea former presidents mahali pa kuishi kwa kufanya kazi waliyokuwa wamepewa.
Hata kama ni Sheria ni Sheria ya kipumbavu....leo hii Mwinyi au Jk hawana uwezo wakujenga nyumba acheni kutetea wizi ikiwa mnakamuliwa vikodi vyenu baada yakufanyia kazi za maana zinajaza matumbo yao na uzao wao nanyie mnapiga pambio tu ni UJINGA
 
Acha wenye CCM yao
IMG-20201018-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom