mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,925
- 8,444
Kwani unakimbizwa,au umeambiwa uwahi kutoa habari utapewa zawadi,unasema utakuwa rahisi kupita mitandao yote tueleze kivipi,kwa mfano ungesema kwa sekunde au dakika bei yake itakuwa hivi,kupiga kwenda mitandao fulani itakuwa kiasi hiki kwa muda wa sekundu au dakika,kifurushi cha data kituwa GB fulani kwa TZS halafu hapo ndio tuone huo utofauti,lasivyo subiri kuanza ,ukipata maelezo ya kina ndio uje utuhabarishe hapa kwa sasa hayo maelezo ni kama propanganda za uchaguzi wa raisi,wabunge na madiwani utakaofanyika mwezi huuMtandao wa simu mpya toka Vietnam Halotel (vietel),utazinduliwa rasmi jumatano 14/10/2015.
Ni mtandao utakaotoa Huduma kwa bei ndogo kabisa kuliko mitandao yote nchi nzima na Huduma zao zitapatikana vijijini,njiani,mijini,maporini na baharini,kila sehemu utayokua utakua hewani,
Watazindua na smart phones zao zenye ubora na garama nafuu kabisa,kwa kuzingatia kipato cha mtanzania Wa kawaida,
Mimi nitakuwa Wa kwanza kununua line ya halotel na smart phone ya halotel(vietel) sababu nimechoka unyonyaji Wa Vodacom na Airtel.