wera wera.
Member
- Jul 29, 2015
- 11
- 3
nimenunua line halotel na muda wa maongezi . kwa kweli hakuna cha unafuu wowote maana nimepewa dkk 30 kwa mwezi , hii ina maana nitumie dkk 1 kwa siku.
Hata kama wana gharama kubwa sawa na airtel,kama kweli 3G yao ni mpaka vijijini,nitafunga nao ndoa hivyo hivyo!Uzuri wa Halotel ni kwamba sehemu zote zina 3G