Asili Tanganyika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 571
- 82
Hahaaaa wamekujaaaa
Mmenikumbusha ile kampuni nyingine ilikuja na same colour za orange hivi. Wakauza modem bei rahisi na watu wakabakia na modem Kama souvenir.
Shamba la bibi at your disposal, karibu Mgeni.
kabla ya kusifia huo mtandao inakubidi ujiulize swali hili!
je, huo mtandao utaendeshwa kwa sheria na taratibu za nchi gani?
-maana kama na Tz Kampuni pekee inayoweza kutoa huduma kwa bei nafuu ni ile iliyo chini ya serikali (TTCL) haya mengine hawawezi kwani kufanya hivyo itakuwa hasara kwao.
Mitambo ipo on kwaiyo ili kujua kama wapo fanya manual seach ya operators eneo ulilopo utawaona wanatumia jina Hit TZ.
View attachment 297332View attachment 297332
LAKN pia huko Zanzibar ulishaona wanachimba mitaro na kutandaza nyaya? Maana huku bara wametandaza nyaya karibu nchi nzima.
Mtandao wao una nyaya Inapita ardhini, huwezi ona minara mingi, wana minara michache alafu mirefu sana ile myembamba. Sehemu nyingine wamenyanyua juu nguzo kama za ttcl.
Hao ndio halotel wengine tushaanza watumia kama freelancer
Mmenikumbusha ile kampuni nyingine ilikuja na same colour za orange hivi. Wakauza modem bei rahisi na watu wakabakia na modem Kama souvenir.
Shamba la bibi at your disposal, karibu Mgeni.
Huo mtandao ni mkubwa kiasi gani kuweza kutoa huduma vijijini,njiani,mijini,maporini na baharini?maana yake umewafikia watu wote nchi nzima?
nawasubiri sana nimechoka na haya matapeli mengine. mabadilikoooooooooo.......! Halotel
kama unaenda vijijini, jamaa wamejenga minara mingi sana. wanatumia pia mkonga wa taifa. wilayani wataunganisha net ya bure kwa taasis za serikali tena wireless.
nawasubiri sana nimechoka na haya matapeli mengine. mabadilikoooooooooo.......! Halotel