FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
Kwa wingi wa nyaya walizotandaza, tarrifs zao zitakua cheap sana I believe, pia watakuwa na very strong network
kweli ww ni mtoto wa gamba. jivue kwanza hilo gamba ndo uje hapa. shareholder mkubwa wa vodacom mtz ni rostam aziz na ana 30%. nyingine ni viongoz wa serikali ya awam ya 3Fisadi papa lowassa ana hisa nyingi sana Vodacom ndio maana Vodacom inawanyonya Watanzania bila aibu wala uwoga. Halafu vilaza mnaonyonywa eti mnataka mabadiliko ya kumpeleka mnyonyaji ikulu, huko si ndio atawakamua kisawa sawa! Lowassa angekuwa na uchungu na hii inchi, asingeruhusu Vodacom kuwanyonya Watanzania wakati yeye pia namiliki sehemu ya Vodacom. Tafakari Chukua Hatua. CHAGUA MAGUFULI #HapaKaziTu
Ofisi zao arusha zikwapi? Nataka niichome line ya Vodacom...tena pale mbele ya ofisi zao
Hivi tukiamua kuhamasisha watu wetu wa karibu wajiunge na huu mtandao voda watabaki vipi? Let us do it wakuu
Hakuna jipya kwenye huo mtandao,vifurushi vyao ndio kama vile vya airtel,voda na tigo.
kwa kweli nothing new kwa vifurushi vile
Nmeweka line Yao na open data but hai access.... Tatizo laweza kuwa nn.... Au umeme ukikatika na net inasepa????
Kwa vfurushi vyao vya data, sijaona jipya, bora airtel.
Sante sana. Imekubaltuma neno CONFIG kwenda no 15503 Then utatumiwa configuration sms na password yao ni 1111 then install ukimaliza install nenda kaedit APN name weka b-internet then anza kuenjoy kama kawaida.
sijaona utofauti mkubwa na mitandao mingine, wala hizo smatphone zao za mediateck zenye display za vga 4.5 sio chochote za kawaida sana
Huo mtandao ni mkubwa kiasi gani kuweza kutoa huduma vijijini,njiani,mijini,maporini na baharini?maana yake umewafikia watu wote nchi nzima?
Zantel nao wamekuwa kimeo siku hizi!!