Tujadili kuhusu mtandao wa Halotel

Tujadili kuhusu mtandao wa Halotel

Ilikuwa ni wakati wa kuiwezesha TTCL. Tena wangeiita hata Tanzatel kama upande wa pili kulivyokuwa na Zantel kuliko kufanya promotions za Vietel(Halotel). Tuzalishe bidhaa bora za kwetu wenyewe tuache kutajirisha wenzetu.
 
Mtandao wa simu mpya toka Vietnam Halotel (vietel),utazinduliwa rasmi jumatano 14/10/2015. Ni mtandao utakaotoa Huduma kwa bei ndogo kabisa kuliko mitandao yote nchi nzima na Huduma zao zitapatikana vijijini, njiani, mijini, maporini na baharini, kila sehemu utayokua utakua hewani.

Watazindua na smart phones zao zenye ubora na garama nafuu kabisa,kwa kuzingatia kipato cha mtanzania Wa kawaida,
Mimi nitakuwa Wa kwanza kununua line ya halotel na smart phone ya halotel (vietel) sababu nimechoka unyonyaji Wa Vodacom na Airtel.

Alhamis co j5,mm mwnyw wakala wao
 
wahusika , ma share holder ni nani ?
 
Mimi naomba kuuliza kwa wazoefu wa uwekezaji. Hivi investment kubwa kama hii ya kampuni ya Halotel ambayo kutokana na taarifa zilizopo ni kwamba ni ya jeshi la Vietnam haina athari yoyote kwenye usalama wa nchi? Hasa ukizingatia kwamba uwekezaji huu uko kwenye eneo nyeti kama mawasiliano. Je Jeshi la Vietnam haliwezi kutumia fursa hiyo kujua siri nyingi za nchi na watu muhimu kiusalama kupitia hiyo kampuni yao inayotoa huduma ya mawasiliano?
 
Mmenikumbusha ile kampuni nyingine ilikuja na same colour za orange hivi. Wakauza modem bei rahisi na watu wakabakia na modem Kama souvenir.

Shamba la bibi at your disposal, karibu Mgeni.

Itakuwa sasatel hiyo!
 
Wakala hebu funguka zaidi tujue faida za ziada huko hallo tel ni dhahir wengi tutahama kutafuta data
 
nahamia halotel haya majizi tumeyachoka.ukitaka uje nunua mb 300 halafu tafuta muvi ya mb 250
uone jinsi walivyoezi.itakuambia data zimeisha na muvi haujaidown load yote
 
Cjajua kama watauza sim card zao au watagawa bure coz mm nmepata bure bei ni ktambulsho 2
 
Ofisi zao arusha zikwapi? Nataka niichome line ya Vodacom...tena pale mbele ya ofisi zao
 
Me nimepata line wamenibania mb wakanipa SMS na mda wa maongezi
 
Mtandao wa simu mpya toka Vietnam Halotel (vietel),utazinduliwa rasmi jumatano 14/10/2015. Ni mtandao utakaotoa Huduma kwa bei ndogo kabisa kuliko mitandao yote nchi nzima na Huduma zao zitapatikana vijijini, njiani, mijini, maporini na baharini, kila sehemu utayokua utakua hewani.

Watazindua na smart phones zao zenye ubora na garama nafuu kabisa,kwa kuzingatia kipato cha mtanzania Wa kawaida,
Mimi nitakuwa Wa kwanza kununua line ya halotel na smart phone ya halotel (vietel) sababu nimechoka unyonyaji Wa Vodacom na Airtel.

Ni kweli umeenea,na je nikipata simcard leo naweza kwenda kijiji chochote nikawa bado nipo hewani?
 
Back
Top Bottom