Kuungia kwny competition ya biashara ya huduma za simu kwa sasa unabidi uje na unique product, unless ushindani ni mkubwq sana, yako wapi makampuni km Sasatel, Smart na hatq Zantel....hawa Vietel labda waje na huduma nzuri za internet zenye bei ndogo sana na zinazopatikana kila pembe ya nchi!
Unless hizi kampuni zilizopo huduma zao ni ghari sana...!
Waje na hallo-pesa kabisa! Tunahama na kila kilicho chetu!
Ila nilisikia nyepesi nyepesi kwamba hii kampuni inaendeshwa na jeshi la Vietnam, sijui ni kweli? Naomba mwenye kujua anijuze, manake kama kweli inaendeshwa na jeshi la Vietnam napata wasiwasi kidogo
Kama wakiwa na internet ya uhakika hasa vijijini nadhani watachukua nafasi kubwa sana vijijini kuliko mijini.
Wawekeze zaidi kwenye internet ya uhakika na iliyo fast.
Kama wakiwa na internet ya uhakika hasa vijijini nadhani watachukua nafasi kubwa sana vijijini kuliko mijini.
Wawekeze zaidi kwenye internet ya uhakika na iliyo fast.
Baharini sehemu gani hasa.......atoe coordinates............
ni kweli isiyo na shaka viettel inaendeshwa na wizara ya ulinzi na usalama ya Vitnam!
Hivi tukiamua kuhamasisha watu wetu wa karibu wajiunge na huu mtandao voda watabaki vipi? Let us do it wakuu
Kama wakiwa na internet ya uhakika hasa vijijini nadhani watachukua nafasi kubwa sana vijijini kuliko mijini.
Wawekeze zaidi kwenye internet ya uhakika na iliyo fast.