Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,873
- Thread starter
- #41
Najua wengi wangesema hivyo kama wewe lakini inawezekana kabisa. Uvivu wa kufikiria ndo unatufanya tusitambue haya. Wewe unaamini kuwa hatuwezi kuwa na database ya nchi hii? We unakubali kuwa matuta ni suluisho? Hiyo miaka kibao unayoiongea watakuwa wamekufa wangapi ka matuta tu achilia mbali mwendo kasi?
Mradi wa anuani za makazi ya watu alieyeuanzisha ni mwananchi ama viongozi wako? Mbona hausikiki tena? Narudia ni uvivu wa kufikiri tu ndo unaotufanya tuwe hapa!
halafu mkuu Eeka Mangi apo umeongea la maana...hivi tukifanya research ya wahanga wa ajali za bara barani wangapi chanzo kikubwa ni uzembe wa madereza, na hata baada ya kuweka matuta ajali zinaongezeka tu
Last edited by a moderator: