Tujadili hili janga kuokoa Walimu Nchini

Tujadili hili janga kuokoa Walimu Nchini

Usinionee kijicho mi msomi na mwakani naanza kuchukua PhD Italia Sana

wasomi wa ccm bwana naona ndio zile zile za one nineteen sixty one for 1961- by mlugo naibu waziri elimu mfukuzwa (ccm). Teh teh! ni Sheeeeda!
 
Yeah nimesoma na ninajivunia hilo

hahaaaaa! Amesoma!!anajivunia hilo!
twende pm nikutumie image ya cv yangu na wewe uweke ya kwako mkuu!maana naona unadhani wewe ndio wakwanza kupata masters so inakupa kiwewe!
HII YOTE NI MADHARA YA KUTOKA FAMILIA MASKINI AMBAZO HAZINA WASOMI NA WEWE NDIO WA KWANZA KUSOMA UKOO MZIMA NDIO MAANA UNAPATA KIWEWE NA MATANGAZO YA LEVEL YAKO YA ELIMU KWA KILA UNAYE MUONA ! Sheeeedah,
 
Tupingeni hili kwa nguvu zote. Kwa nn watushikie bango sie wenyenewe tu? Kazi ya kutoa huduma za jamii ni jukumu la serikali maana ndo inayokusanya kodi. Kwa maana hiyo, income tax tunayokatwa kwenye malipo ni ya kazi gani sasa. Ushauri, warudishe kodi ya kichwa kwa kila mwananchi na sisi tupumue japo kidogo kama hela wamemaliza . Hebu fikria, mshahara unachinjwa, nikienda kununua bidhaa au huduma nachinjwa kodi huku mwananchi wa kawaida anadunda tu na wakati huo huo mwekezaji anapewa ofa ya ku exploit mali yetu bila kodi kwa serikali. Mungu tuoneee huruma watumishi wa serikali au jamani kufanya kazi serikalini ni adhabu au dhambi isiyosameheka? Au ....... ? Jamani maswali ni mengi kuliko majibu. Wakututetea nao hawaonekani naamanisha tucta, cwt etc
Ndio Ujinga wenu uko hapa matatizo yenu mna delegate kwingine.Mungu anaingiaje hapa? Wawekezaji wanaingiaje hapa? Komaeni mpaka kieleweke na muache kuisaidia CCM kuiba kura la sivyo mtakatwa hadi muone rangi zote
 
hahaaaaa! Amesoma!!anajivunia hilo!
twende pm nikutumia image ya cv yangu na wewe uweke ya kwako mkuu!

Powa lete nami nikupe yangu ila usijeanza kujipendekeza kuniomba kazi
 
Inanisaidiaje? Imenifanya nisile ugali Wa shikamoo...

Nakula kwa jasho langu kulinda utu wangu

Sidhani kama unakula Kwa jasho lako Kwa kuwa mawazo unatoa si huru wewe ni mchumia tumbo.
 
Mbona imekuuma Sana??

Kasome uipate basi

iniume kwa level hiyo,, we juha kweli ndio mana nakwambia shule ndogo uliyo nayo ndio chanzo cha yote haya ni hayo tu, huna tofauti na wale ambao wakiambiwa hawajasoma wanajifanya kuongea kingereza ili waonekane wasomi hahaaaaaa! Maskini akipata ------ hulia bwata.
 
Sidhani kama unakula Kwa jasho lako Kwa kuwa mawazo unatoa si huru wewe ni mchumia tumbo.

Nimeajiriwa nina kazi nzuri huo uchumia tumbo siufahamu hata!!!!
 
iniume kwa level hiyo,, we juha kweli ndio mana nakwambia shule ndogo uliyo nayo ndio chanzo cha yote haya ni hayo tu, huna tofauti na wale ambao wakiambiwa hawajasoma wanajifanya kuongea kingereza ili waonekane wasomi hahaaaaaa! Maskini akipata ------ hulia bwata.

Umesema utatuma CV tuma basi mbona unabwabwaja tu??

Wewe Kama umesoma basi Una kadiploma ka zoom college....
 
weka cv tukuajiri elimu yako ya leo wenzio ya jana

yaani huyu mwehi amenifanya nimdharau san kwakweli naringia elimu ambazo siku hizi kila mtu anayo? MSAMEHE TU MKUU NDIO TABU YA KUZALIWA KATIKA FAMILIA ZA WATU AMBAO HAWAJAENDA SHULE NA YEYE NDIO WA KWANZA NDIO MAANA ANA HAHA HIVYO.
 
hakatwi mtu hapa
tukishindwa kuzuia janga hili, nitaingia benki yoyote. nakopa hela kibao halafu naendelea na mambo mengine. ualimu itakuwa mwisho.

we waache walete umavimavi wao
 
weka cv tukuajiri elimu yako ya leo wenzio ya jana

yaani huyu mwehi amenifanya nimdharau san kwakweli naringia elimu ambazo siku hizi kila mtu anayo? MSAMEHE TU MKUU NDIO TABU YA KUZALIWA KATIKA FAMILIA ZA WATU AMBAO HAWAJAENDA SHULE NA YEYE NDIO WA KWANZA NDIO MAANA ANA HAHA HIVYO.akiizoea atajiona kumbe alikuwa mjinga tu!
 
Ila mbongo ni mtu wa ajabu sana ona linamsimanga mwenzake wakati na lenyewe limeandika Sary, wakati mkosolewaji aliandika Salary

Halina akili hilo mkuu wangu..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Duuuuh nilijuaga umeenda shule hata kidogo kumbe papai tu kichwani?

Salary sleep ndo kitu gani? ndo maana mna poor reasoning Sana maana hamna akili...


siku nyingine usirudie inaitwa Salary Slip

Haya nimebadilisha hiyo Sleep na nimeweka Slip kwa hiyo jibu hiki nilichokiandika sio kazi yako kuangalia viandishi vilivyokosewa.

quote_icon.png
By kibogo

Na ni vema tukatafakari zaidi ya mara moja hii kauli ya Mwigulu eti anadhibiti watumishi wanaolipwa mishahara hewa kwa hiyo mishahara yote ya Watumishi italipiwa kupitia hazina, kwanza kabisa tangu utaratibu huu uanze hakuna Salary Slip zilizopelekwa halmashauri ili watumishi wajue uhalisia wa mishahara yao kwa hiyo Mwigulu amefanya hivi makusudi ili watumishi wakatwe fedha wakiwemo hao walimu pasipo kugundua na kufanikisha malengo yao ya kampeni za 2015.
 
Chenji ya UKAWA ambao walitakiwa kulipwa kila Sikh 300000 hawakuingia bungeni BMK inafanya kazi gani? Nchi ya Rwanda zerikali inaimarisha benki za walimu kukuza kipato chao kwetu wanakatwa mishahara yao. Hii sasa ni zaidi ya dhihaka.

kweli kabisa chenji IPO,walimu wanaonewa
 
Back
Top Bottom