CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,784
- 6,180
haa haa,mkuu nasikia walimu ndo wanaoongoza kuisaidia ccm kwa kuchakachua kura wakati wa uchaguzi ili ishinde kwa kishindo!
kwahiyo wakatwe tu?
haa haa,mkuu nasikia walimu ndo wanaoongoza kuisaidia ccm kwa kuchakachua kura wakati wa uchaguzi ili ishinde kwa kishindo!
hujitambui. unadhani walimu wote ni CCM?
Halafu mwanao au nduguyo akifeli unaema walimu hawafundishi
tulia, tafakari. katika nchi yoyote ile, sekta moja inapoyumba, nchi nzima huangamia.
wanaongaamia ni pamoja wewe unaejisikia raha kubonyeza buttons kuandika mawazo mufilisi kushadadia upuuzi huu.
Hivi kwa siku unakula sh. Ngapi hadi ukimbilie kufungua thread ya malalamiko kukatwa elfu 10 tena kwa mwezi??
Unakunywa pombe za sh. Ngapi? Unahonga sh. Ngapi? Yaani inakuuma kuchangia elfu 10 watoto wapate maabara? Mbona harusi hulii hivi??
Watanzania tujifunze kujenga nchi....
some people are here in order to distract people's attention from main point and get paid for this shit
kaka lusungo nakuheshimu sana but for this nadeclare interest mi ni mwalimu tena ws geogr na maths
sina uzalendo wa kujenga hii nchi uzalendo km upo wa kujenga nchi mngeanza nyie kwanza wenye vipato tena viongozi wa juu serikali hadi wakurugenzi
mimi ningekua wa mwisho kabisa
yaani kidogo nikipatachi bado mwataka mnipore
excuse me for this
sitoi kwanza kitendo cha kufanya gvt ni wito tosha
niko tayari kufukuzwA kazi lakini sitoi thumni
kuichangia hii nchi
wao si wanajua nchi inaendeshwa na pombe na sigara wakiacha madini na utalii vikiangamia sawa
ila siccccchhhangiiiiiiiiooo!!!!
over my dead body!!!!
kuacha kazi ndo solution?mkuu mishahara ya waalimu ni mikubwa kuliko kada nyingi tu hapa nchini,kama huridhiki na mshahara wako kwa nini usibadilishe profession ukafuata hizo profession unazodhani wanalipwa zaidi yako?kupanga ni kuchagua
na huwezi kuwa saiz yangu maana hata IQ yako inaingia mara 1000 kwangu, kifupi huna hata hadhi ya kuwa mlisha mbwa wangu kwa uelewa wako ulivyo mdogo, nape na wewe mnafanana uwezo wenu wa kufikiri ndio maana akawa bosi wako anae kuweka mjini,jitu kubwa akili kisoda,
na huwezi kuja kujifananisha na mimi hata lepe, maana jeuri hiyo huna, wewe ni juha na utabaki kuwa juha tu! Utatumika na wala rushwa watakugeuza weeeee! Wakikuchoka watakutia kapuni kama pedi, mtu gani unaye washangilia wala rushwa ilihali uchumi wa taifa unayumba!?mnajifanya hamuoni ili mtetee njaa zenu za siku moja mnasahau kwamba na vizazi vyenu vita ishi ndani ya nchi hii hii inayo malizwa na wala rushwa mnao watetea,halafu eti bado mnataka kuitwa great thinkers, lol? Shwain
Na wewe uliyeandika "typo" badala ya "type"'
Nina elimu ndogo? We bwanamdogo usifikiri kila MTU ni duni Kama wewe nina elimu ifuatayo...
Post graduate diploma ya diplomasia.....
LLB. ( hons) university of Dar es salaam
MA. In international and intercultural communication...
University of Denver, Colorado USA......
Usijefikiri kwakuwa tunajadiliana hapa basi tupo sawa...
Punguani wahed!!!!
Na wewe uliyeandika "typo" badala ya "type"'
mchango wa ujenzi wa maabara upo hadi huku lindi, lakini nijuavyo mimi ni kuwa kikao cha wdc cha kata yetu kikipanga kiasi cha mchango kiwe tshs 5000 kwa kila mkaazi wa kata yetu na mchango unaendelea vizuri. naona kwa hiyo case ya mtoa mada atumie chama cha walimu ili kishawishi ushirikishwaji wa waalimu kwenye upangaji wa viwango vya michango kwenye eneo lake, lakini nadhani ni muhimu kuchangia elimu bora ya watoto wetu, serikali ikiachiwa kujenga maabara zote itachukua muda mrefu sana na tutaendelea kuwapa watoto wetu elimu nusunusu ya sayansi,
nawasilisha
We poor thinker na chachandu ya wageni huyo kima mwenzio kaniadabisha nini?
mkuu mishahara ya waalimu ni mikubwa kuliko kada nyingi tu hapa nchini,kama huridhiki na mshahara wako kwa nini usibadilishe profession ukafuata hizo profession unazodhani wanalipwa zaidi yako?kupanga ni kuchagua