Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,514
- 42,648
Ila mbongo ni mtu wa ajabu sana ona linamsimanga mwenzake wakati na lenyewe limeandika Sary, wakati mkosolewaji aliandika Salary
Wewe ndio tutusa kwa kushindwa kung'amua kuwa kosa halikua kuandika salary isipokuwa aliandika salary sleep kitu ambacho si sahihi na mbadala wake ni salary slip ...
Poor you!!!