Tujadili hili janga kuokoa Walimu Nchini

Tujadili hili janga kuokoa Walimu Nchini

Duuuuh nilijuaga umeenda shule hata kidogo kumbe papai tu kichwani?

Salary sleep ndo kitu gani? ndo maana mna poor reasoning Sana maana hamna akili...


siku nyingine usirudie inaitwa Salary Slip

Na wewe hapo kwenye RED ulikuwa unamaanisha nini? kwa hiyo kwa usomi wako tueleze maana ya sary


quote_icon.png
By lusungo

Duuuuh nilijuaga umeenda shule hata kidogo kumbe papai tu kichwani?

sary sleep ndo kitu gani? ndo maana mna poor reasoning Sana maana hamna akili...


siku nyingine usirudie inaitwa Salary Slip
 
Walimu bana huwa wananchekesha xn, eti walitaka washirikishwe, kwani hizo shule ni zenu??? Why msiwaambie wakachukue ile chenji ya rada ya chenge? Yan kamshahara ka laki 3 unaiomba govt ikushirikishe kukuongezea makato???
Plz walimu hebu mjiamini, acheni woga usio na tija, nyie ni wasomi na kisima cha viongoz nchini hebu mjiamini vngnevo mtalamba sana miguu ya kina Pinda..
 
Uliandika hivi

" Salary sleep ndo kitu gani? ndo maana
mna poor reasoning Sana maana
hamna akili..."

Hapa haukumaanisha mtu mmoja ulimaanisha wengi. Mkuu hao walimu unaowatukana wana poor reasoning bila wao usingekuwepo hapo ulipo, huwa sipendi kuona mwalimu akitukanwa na kidhalilishwa.

Na mtu kukosea kuandika ni mapungufu tu ya kibinadamu, ndo maana kwenye lugha hasa second language kuna errors na mistakes.

that's true
 
uzi kam huu unaniongezea hasira tu maana tunajadili hapa halafu no reaction.
tuingie barabaran.....kwenda halmashauri....ndo watajua.
hiz kelele tunazozipigia humu hawasikii...
 
ivi nikiambiwa nipeleke wasomi nije nikupeleke wewe! Hahahaaa! you cant be serious dude!


Shule nzuri Dada nenda kasome elimu yako ya Amazon college haitakufikisha popote...
 
walimu wenzangu tuacheni uoga wa kijinga jamani, sasa mnakatwa mishahara yenu nyie mpo kimya. Huu ni ujinga tena sn. CWT mko wapi mbona walimu tunaonewa nyie mpo kimya?

Serikali inataka kuchuna ngozi kiroboto,chenji ya BMk iko wapi,pesa ya mfuko WA jimbo inafanya nini,hii tabia ya kuonea wanyonge ikome,CWT imelala Tu,kwa Hili serikali inachukiwa saana,kwanini wasiwakate wabunge wenye posho kubwa,100,000 per head (laki moja)kwa idadi ya wabunge la BMk
 
wakuu mbona mmehama kwenye hoja ya msingi mnapiga majungu na majingambo yasiyo na msingi hapa hatujuani kwa sababu kila mmoja anatumia id fake sasa .
 
Walimu nyie ni waoga na hamna wa kumlaumu ila nyie wenyewe.Nakumbuka ilikuwa 2004 kulitokea ugonjwa wa mifugo Dodoma wakachukua mishahara yenu wakaenda kununulia dawa za majosho.Mishahara ikachelewa for ten days nyie kimya and come 2005 mkaichagua CCM kwa kishindo.Mtakatwa hadi mavuzi mwaka huu

hahahaaaaa
 
toka niingie jukwaa hili sijawahi kuona mtu wa hovyo kama wewe.

Mtu Wa hovyo kwako na wala lisikupe tabu mi vyeo vinapanda tu sijali Kama kuna kima anaitwa tawa ananiona Wa hovyo....
 
wakuu mbona mmehama kwenye hoja ya msingi mnapiga majungu na majingambo yasiyo na msingi hapa hatujuani kwa sababu kila mmoja anatumia id fake sasa .

some people are here in order to distract people's attention from main point and get paid for this shit
 
haa haa,mkuu nasikia walimu ndo wanaoongoza kuisaidia ccm kwa kuchakachua kura wakati wa uchaguzi ili ishinde kwa kishindo!

saa nyingine kuwalaumu walimu tunawaonea mbona BMk wamechakachua kura kwani walimu wametumika ? Kubwa kwenye kura Ni tume ya uchaguzi kuwa huru
 
Back
Top Bottom