Tujadili hili janga kuokoa Walimu Nchini

Namna gani mtu anatumia mshahara wake sio juu yako, yangu au ya Serikali! Ahonge, anywee au vyovyote apendavyo ni hiari yake mwenyewe. Na nina uhakika ndio kuwa ni waalimu peke yao ndio waliotajwa kwenye waraka.

Basi we changia tu si wanasoma nduguzo shida nini??
 
Teh teh teh povu lanini dadangu?

Mi nina cheo kikubwa kuliko Nape sasa atawezaje kuwa boss wangu??

Unajifariji nyuma ya keyboard Una IQ kubwa wewe punguani? Una mlisha mbwa umpate wapi wakati Hadhi yako Kama huyo mbwa??

Relax bibie hii game huiwezi.

hahahahaaaaa! Eti unacheo kikubwa kuliko nape,labda ulikipata kwa kugawa tigo,si bure maana uwezo wako wa kuchanganua mambo hauna tofauti na mtoto wa shukle ya awali? Na sijui hao walio chini yako wana hali gani maana mh! Ni sheeedah, vijana wa ccm njaa zinawasumbua sana ndio mana mnauza utu wenu sababu ya posho,
TAIFA LINAANGAMIA KWA SABABU YA UJINGA WA WATU KAMA WEWE! Elimu ndogo ,pamoja na udigi wa elimu yako lakini bado haijakusaidia, nenda kasome mwenendo wa uchumi wa tanzania halafu uje hapa utoe hoja pimbi wewe! Njaa ziwauwa ,UNAPO FANYA JAMBO LOLOTE KIMASLAHI, USIJALI MASLAHI YAKO TU! Tazama na walio nyuma yako !
 
walimu wenzangu tuacheni uoga wa kijinga jamani, sasa mnakatwa mishahara yenu nyie mpo kimya. Huu ni ujinga tena sn. CWT mko wapi mbona walimu tunaonewa nyie mpo kimya?
 
ndugu mwalimu mkikaa muwasubiri CWT nadhani mtaendelea kunyanyasika zaidi, kumbukeni ni kwa mambo mangapi hao cwt wame disapoint? Nadhani si wakati wa kusubiri cwt tena walimu jikusanyeni fanyeni maamuzi CWT hawana msaada wowowte kwenu na hawatakuja kuwa na msaada wowote kwenu wakiwa chini ya utawala huu una rindima kwa rushwa.
 
hahahahaaaaa! Eti unacheo kikubwa kuliko nape,labda ulikipata kwa kugawa tigo,si bure maana uwezo wako wa kuchanganua mambo hauna tofauti na mtoto wa shukle ya awali? Na sijui hao walio chini yako wana hali gani maana mh! Ni sheeedah, vijana wa ccm njaa zinawasumbua sana ndio mana mnauza utu wenu sababu ya posho,
TAIFA LINAANGAMIA KWA SABABU YA UJINGA WA WATU KAMA WEWE! Elimu ndogo ,pamoja na udigi wa elimu yako lakini bado haijakusaidia, nenda kasome mwenendo wa uchumi wa tanzania halafu uje hapa utoe hoja pimbi wewe! Njaa ziwauwa ,UNAPO FANYA JAMBO LOLOTE KIMASLAHI, USIJALI MASLAHI YAKO TU! Tazama na walio nyuma yako !

Nina elimu ndogo? We bwanamdogo usifikiri kila MTU ni duni Kama wewe nina elimu ifuatayo...

Post graduate diploma ya diplomasia.....

LLB. ( hons) university of Dar es salaam

MA. In international and intercultural communication...

University of Denver, Colorado USA......

Usijefikiri kwakuwa tunajadiliana hapa basi tupo sawa...

Punguani wahed!!!!
 
walimu wenzangu tuacheni uoga wa kijinga jamani, sasa mnakatwa mishahara yenu nyie mpo kimya. Huu ni ujinga tena sn. CWT mko wapi mbona walimu tunaonewa nyie mpo kimya?
Walimu nyie ni waoga na hamna wa kumlaumu ila nyie wenyewe.Nakumbuka ilikuwa 2004 kulitokea ugonjwa wa mifugo Dodoma wakachukua mishahara yenu wakaenda kununulia dawa za majosho.Mishahara ikachelewa for ten days nyie kimya and come 2005 mkaichagua CCM kwa kishindo.Mtakatwa hadi mavuzi mwaka huu
 
Dhambi mbaya kuliko yote ni UOGA!!!!!!!!by Lema(mb)!!!!!Walimu tucheni uogaaaa
 
KWA MTAZAMO WAKO MKUU, WALIMU WOTE WANAIBA KURA? NI vizuri utoe hoja yenye mashiko na ushahidi ulioshiba
 
Nina elimu ndogo? We bwanamdogo usifikiri kila MTU ni duni Kama wewe nina elimu ifuatayo...

Post graduate diploma ya diplomasia.....

LLB. ( hons) university of Dar es salaam

MA. In international and intercultural communication...

University of Denver, Colorado USA......

Usijefikiri kwakuwa tunajadiliana hapa basi tupo sawa...

Punguani wahed!!!!

hahahaaaaa embu ona uvyo jiaibisha kwa ufahamu mdogo,tukiwaambia vijana wa ccm hamna akili na ni mazuzu mna bisha, kweli nimeamini kwa uelewa huu ulio nao kweli unaweza kutembea umepandisha sketi yako juu ili watu waione bikini yako mpya uliyo hongwa na mahawara zako wala rushwa unao kesha kuwatetea humu.
Mh! Nimecheka sana aisee, sasa wewe kwa akili zako zilivyo ndogo unadhani kwa kuandika hayo uliyo yaandika hapa ndio utakuwa ushahidi wako kuwaaminisha watu kuwa unaelimu?
duu! Kaaazi kweli kweli imecheka sana KIFUPI NI KWAMBA ,HAYO YOTE ULIO YAANDIKA HAPO HATA YULE ALIYE ISHIA SHULE YA MSINGI ANAWEZA KUNDIKA NA KU POST HAPA ,HATA KAMA ALIISHIA DARASA LA PILI ANA WEZA KUPACHIKA PhD. Mara nyingi wasio nacho hupenda kujisifu kuwa anacho lakili alie nacho hupenda kuwa mkimya akitafuta kingine cha ziada bila maneno wala majivuno. UMETIA AIBU!! Lakini ndio uwezo wenu vijana wa ccm ulipo ishia, sio kosa lenu bali ni malez mnayo yapata kutoka kwa mabwana zenu wala rushwa.
 
Duuuuh nilijuaga umeenda shule hata kidogo kumbe papai tu kichwani?

Salary sleep ndo kitu gani? ndo maana mna poor reasoning Sana maana hamna akili...

siku nyingine usirudie inaitwa Salary Slip

du kaka Leo unatukana walimu kuwa hawana akili!!?
 
hahahaaaaa embu ona uvyo jiaibisha kwa ufahamu mdogo,tukiwaambia vijana wa ccm hamna akili na ni mazuzu mna bisha, kweli nimeamini kwa uelewa huu ulio nao kweli unaweza kutembea umepandisha sketi yako juu ili watu waione bikini yako mpya uliyo hongwa na mahawara zako wala rushwa unao kesha kuwatetea humu.
Mh! Nimecheka sana aisee, sasa wewe kwa akili zako zilivyo ndogo unadhani kwa kuandika hayo uliyo yaandika hapa ndio utakuwa ushahidi wako kuwaaminisha watu kuwa unaelimu?
duu! Kaaazi kweli kweli imecheka sana KIFUPI NI KWAMBA ,HAYO YOTE ULIO YAANDIKA HAPO HATA YULE ALIYE ISHIA SHULE YA MSINGI ANAWEZA KUNDIKA NA KU POST HAPA ,HATA KAMA ALIISHIA DARASA LA PILI ANA WEZA KUPACHIKA PhD. Mara nyingi wasio nacho hupenda kujisifu kuwa anacho lakili alie nacho hupenda kuwa mkimya akitafuta kingine cha ziada bila maneno wala majivuno. UMETIA AIBU!! Lakini ndio uwezo wenu vijana wa ccm ulipo ishia, sio kosa lenu bali ni malez mnayo yapata kutoka kwa mabwana zenu wala rushwa.

Mbona unanitukana Sana? Kosa langu nini?

Usinionee wivu na kijicho acha chuki ndugu kazana nawewe upate usiumie roho kwa alichonacho mwenzio...
 
Kwa uongozi huu Wa CWT uliopo madarakani, walimu mtaonewa mpaka mtakufa. You must make change
 
Tupingeni hili kwa nguvu zote. Kwa nn watushikie bango sie wenyenewe tu? Kazi ya kutoa huduma za jamii ni jukumu la serikali maana ndo inayokusanya kodi. Kwa maana hiyo, income tax tunayokatwa kwenye malipo ni ya kazi gani sasa. Ushauri, warudishe kodi ya kichwa kwa kila mwananchi na sisi tupumue japo kidogo kama hela wamemaliza . Hebu fikria, mshahara unachinjwa, nikienda kununua bidhaa au huduma nachinjwa kodi huku mwananchi wa kawaida anadunda tu na wakati huo huo mwekezaji anapewa ofa ya ku exploit mali yetu bila kodi kwa serikali. Mungu tuoneee huruma watumishi wa serikali au jamani kufanya kazi serikalini ni adhabu au dhambi isiyosameheka? Au ....... ? Jamani maswali ni mengi kuliko majibu. Wakututetea nao hawaonekani naamanisha tucta, cwt etc
 
Tusiwabeze walimu wote jamani ,kwani wapo walimu wengi wanaojitambua na wanajua udhaifu wa serikali hii, tatizo ni mfumo wa kutafuta haki
 
Nina elimu ndogo? We bwanamdogo usifikiri kila MTU ni duni Kama wewe nina elimu ifuatayo...

Post graduate diploma ya diplomasia.....

LLB. ( hons) university of Dar es salaam

MA. In international and intercultural communication...

University of Denver, Colorado USA......

Usijefikiri kwakuwa tunajadiliana hapa basi tupo sawa...

Punguani wahed!!!!

mwisho Wa siku inakusaidiaje kujikwamua na ujinga na unafiki Wa kitanzania?
 
Back
Top Bottom