Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,514
- 42,648
Tumia tu kiswahili utaeleweka pia
Acha wivu dada utazalishwa bure bila kumjua baba wa mtoto
Tumia tu kiswahili utaeleweka pia
Acha wivu dada utazalishwa bure bila kumjua baba wa mtoto
Wivu na kijicho vinakusumbua naona baada ya kukutajia elimu yangu roho imekulipuka....
GANDA LA MUA LA JANA , chungu kaona vuno ,ni utoto tu ndio tatizo lako malimbikeni hawaishi mtu mwenye elimu kama hiyo huku kwetu ni tarishi tu! Kaongeze elimu kidogo labda uta jitambua kidogo maana waonesha una ka u adolescent kanako kusumbua.
toka niingie jukwaa hili sijawahi kuona mtu wa hovyo kama wewe.
Hahhha kwa elimu yako ya The Amazon College au??
Saga chupa unywe mpashukuna wewe Leo umeipata fresh
Usitoe povo jitambueni kwanza ndio msaidiwe. Sio uongo nyie mnasaidia uchakachuaji kwenye chaguzi acha muone chamoto ili mrudi kwenye mstari ulionyooka
mh! Ona sasa Hata haueleweki umebaki kujishongondoa unatia hadi kinyaa tu! Ptuuuu! Bora kinyesi kina faida kwenye mimea kama samadi kuliko mbunye wewe! aghhhh! Ptuuu, ccm inawatumia vilivyo ndio maana hamjielewi ka mandondocha fulani, umeishiwa hoja saivi umeamua kutema pumba tupu! Haya kakojoe ukalale maana nyie vitoto bila kukojoleshwa hamkawii kuangusha kojo kitandani.
Duuuuh nilijuaga umeenda shule hata kidogo kumbe papai tu kichwani?
Salary sleep ndo kitu gani? ndo maana mna poor reasoning Sana maana hamna akili...
siku nyingine usirudie inaitwa Salary Slip
Nina elimu ndogo? We bwanamdogo usifikiri kila MTU ni duni Kama wewe nina elimu ifuatayo...
Post graduate diploma ya diplomasia.....
LLB. ( hons) university of Dar es salaam
MA. In international and intercultural communication...
University of Denver, Colorado USA......
Usijefikiri kwakuwa tunajadiliana hapa basi tupo sawa...
Punguani wahed!!!!