Tujadili hili janga kuokoa Walimu Nchini

Tujadili hili janga kuokoa Walimu Nchini

hivi mshahara wa laki tano ni kiduchu kweli? hebu tuambieni huyo kibopa huwa anawalipa shs ngapi?
 
Nina elimu ndogo? We bwanamdogo usifikiri kila MTU ni duni Kama wewe nina elimu ifuatayo...

Post graduate diploma ya diplomasia.....

LLB. ( hons) university of Dar es salaam

MA. In international and intercultural communication...

University of Denver, Colorado USA......

Usijefikiri kwakuwa tunajadiliana hapa basi tupo sawa...

Punguani wahed!!!!

hahahaaaa! Yaani kila nikisoma kipande hiki ulicho post najisikia kucheka sana na hii imenifanya nitumie elimu niliyo nayo ambayo wewe itakuwa historia kwako kuifikia,kujua characteristics zako kwani kwanza ni kujua umri wako,tabia zako,upeo wako wa fikra,u're IQ , personality, na mambo mengi sana nime diagnose kutoka kwako kupitia kipande chako ulicho tuma hiki hapa chini;
''NUKUU''
nina elimu ifuatayo... Post graduate diploma ya diplomasia..... LLB. ( hons) university of Dar es salaam MA. In international and intercultural
communication... University of Denver, Colorado USA......
 
walimu wenzangu tuacheni
uoga wa kijinga jamani, sasa mnakatwa mishahara yenu nyie mpo kimya.
Huu ni ujinga tena sn. CWT mko wapi mbona walimu tunaonewa nyie mpo
kimya?

huu ndo ujinga wa mtanzania hivi hujui shuli hizi wanasoma wanao na watoto wa nduguzo?
 
mwisho Wa siku inakusaidiaje kujikwamua na ujinga na unafiki Wa kitanzania?

Inanisaidiaje? Imenifanya nisile ugali Wa shikamoo...

Nakula kwa jasho langu kulinda utu wangu
 
hahahaaaa! Yaani kila nikisoma kipande hiki ulicho post najisikia kucheka sana na hii imenifanya nitumie elimu niliyo nayo ambayo wewe itakuwa historia kwako kuifikia,kujua characteristics zako kwani kwanza ni kujua umri wako,tabia zako,upeo wako wa fikra,u're IQ , personality, na mambo mengi sana nime diagnose kutoka kwako kupitia kipande chako ulicho tuma hiki hapa chini;
''NUKUU''
nina elimu ifuatayo... Post graduate diploma ya diplomasia..... LLB. ( hons) university of Dar es salaam MA. In international and intercultural
communication... University of Denver, Colorado USA......

Mbona imekuuma Sana??

Kasome uipate basi
 
mwisho Wa siku inakusaidiaje kujikwamua na ujinga na unafiki Wa kitanzania?

hana lolote huyo ni juha tu, kajipachika ngazi za elimu ambazo hana hadhi nazo maana hata ujibuji wake wa hoja hapa una prove hilo kwamba huyu ni mburumundu tu!kama mamburumundu wenzie,
 
nitamwongoza mke wangu agome. Nawenye wake/wanaume walimu tuungane kufanya hivyo. HAIKUBALIKI
 
hana lolote huyo ni juha tu, kajipachika ngazi za elimu ambazo hana hadhi nazo maana hata ujibuji wake wa hoja hapa una prove hilo kwamba huyu ni mburumundu tu!kama mamburumundu wenzie,

Usinionee kijicho mi msomi na mwakani naanza kuchukua PhD Italia Sana
 
Inanisaidiaje? Imenifanya nisile ugali Wa shikamoo...

Nakula kwa jasho langu kulinda utu wangu

utu gani una ulinda wakati unatumika na wala rushwaa?? Acha kuwa muongo wewe hata kama uongo ndio sera ya ccm.
 
Mimi ni mwalimu, nnafundisha kemia na baolojia nimefurahishwa sana na mpango wa ujenzi wa maabara katika shule zetu za kata, maana shule yangu ilikuwa na maabara moja tu, ila hivi sasa wanajenga maabara tatu (3), nimefurahi sana.

Suala la kuchangia ujenzi wa maabara sioni kama kuna tatizo, tatizo linakuja pale ambapo uchangiaji huu unapo kuwa wa kibaguzi.

Wanafunzi wanao tumia maabara/shule ni wanafunzi wa matabaka/wazazi wa kada zote, sasa inakuwaje walimu pekee walengwe?

Kitu gani kimeangaliwa kwao?

Je impact ya kitendo hiki imetafakariwa kisawa sawa?

Binafsi nnajua walimu wengi wapo kwenye mgomo baridi, ndio maana elimu inayumba, hii inatokana na matatizo mengi waliyo nayo baina yao na serikali, na hivi sasa matatizo yanaongezwa.

Elimu baada ya miaka minne ijayo itakuwaje?
Au ndio kila mtu atakuwa msanii wa bongo flava?

Hili suala liangaliwe upya, la sivyo.............
 
Usinionee kijicho mi msomi na mwakani naanza kuchukua PhD Italia Sana

yaani unazidi ku prove failure we juha! Msomi anaye taka sifa sijawahi muona ! Endelea tu kupandisha sketi yako chup ikisha onekana utasifiwa.
KUWA NA ELIMU NDOGO NALO NI TATIZO KUBWA SANA KATIKA TAIFA LOLOTE!
 
Wapi nimesema walimu hawana akili? Mi nimemkosoa niliyemquote....

Uliandika hivi

" Salary sleep ndo kitu gani? ndo maana
mna poor reasoning Sana maana
hamna akili..."

Hapa haukumaanisha mtu mmoja ulimaanisha wengi. Mkuu hao walimu unaowatukana wana poor reasoning bila wao usingekuwepo hapo ulipo, huwa sipendi kuona mwalimu akitukanwa na kidhalilishwa.

Na mtu kukosea kuandika ni mapungufu tu ya kibinadamu, ndo maana kwenye lugha hasa second language kuna errors na mistakes.
 
yaani unazidi ku prove failure we juha! Msomi anaye taka sifa sijawahi muona ! Endelea tu kupandisha sketi yako chup ikisha onekana utasifiwa.
KUWA NA ELIMU NDOGO NALO NI TATIZO KUBWA SANA KATIKA TAIFA LOLOTE!

Mbona unawivu nami?? Hiyo ni elimu ndogo tu wala sijajisifia nilikuwa nakujibu ulivyosema nina elimu ndogo...

Bwanamdogo kuwa na adabu usifikiri mi failure Kama wewe

Acha kulia wivu kasome nawewe.
 
Uliandika hivi

" Salary sleep ndo kitu gani? ndo maana
mna poor reasoning Sana maana
hamna akili..."

Hapa haukumaanisha mtu mmoja ulimaanisha wengi. Mkuu hao walimu unaowatukana wana poor reasoning bila wao usingekuwepo hapo ulipo, huwa sipendi kuona mwalimu akitukanwa na kidhalilishwa.

Na mtu kukosea kuandika ni mapungufu tu ya kibinadamu, ndo maana kwenye lugha hasa second language kuna errors na mistakes.

Mkuu sijatukana walimu na sitakuja kuwatukana Daima...

Naomba radhi Kama nimeeleweka vibaya...
 
Back
Top Bottom