Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
- Thread starter
- #81
Kongosho ni kweli, maisha hayawezi kwenda bila imani? Simaanishi mambo ya Mungu.Kuna mtu kutokumuamini mtu mwingine kwasababu yeye hajui kuamini
Kuna kutokumwamini mtu kwakuwa haaminiki
Usichanganye hayo
Kwasababu maisha hayawezi kwenda bila Imani
Kwasababu ni hitaji la kimaisha
Yaani unatakiwa uamini unamuamini mtu kwakuwa unatakiwa kufanya hivyo ili maisha yaende
Na Eiyer, unasemaje; ninahitaji kuearn trust yako kwanza ndipo unitrust au unaweza kunitrust kwakuwa sijakupa sababu bado za kutonitrust?
Last edited by a moderator: