Tujadili: Dunia ya machale!!!!!!!!

Tujadili: Dunia ya machale!!!!!!!!

Mmmmmmmmmmh!

Lara please, naamini wewe ni kati ya watu ambao huishi kimachale please share what is wrong with trusting another person apart from yourself?
 
snowhite njoo niulizie kwa The Boss lini ataanza nitrust with his heart maana mali najua ni never.
 
Last edited by a moderator:
Duu hii umenikumbusha kitu, kuna shemeji yangu (Mke wa kakaangu) ana kesi mahakamani lakini mmewe alikuwa hajui mpaka siku moja ilipotoka habari gazetini zile wanaziita 'kutoka mahakamani kwa ufupi', ishu ni kwamba alikuwa ananunua kiwanja kwa siri na ametapeliwa Tshs M26, wakati huo huo wanaishi kwenye nyumba ambayo haijafanyiwa finishing kutokana na familia kutokuwa na pesa.

yaani kuna hundred and one mifano ya hivyo kwa upande wa mali, lkn hata emotional machale ipo hasa kwa wababa. Usasikia wanaambizana "usimuoneshe mwanamke kuwa unampenda sana, atakusumbua" really? Matokeo yake anakuwa na mashaka na upendo wako kwake, n we both know nini kitatokea akimpata atakaye muonesha upendo.
 
Aisee, mimi naona ni kama kuwa paranoia fulani hivi when you live around too much machale. Usiniulize what is too much and what is too little; yaani kuna watu muda wote wanahisi kutendwa tu hawana amani kabisa, nilikuwa na jirani yangu yeye kila mtu au anamuhisi mchawi au kama ni mwanamke basi anamzengea mumewe. Honestly nilikuwa namuhurumia.

….unajua, kwa #AfyaYaAkili yako mwenyewe, jitahidi kujizuia mambo ….kwa "kiasi" au #KiwangoMaalum.
Ukiendekeza sana haya #Machale kiasi kwamba #UnashindwaKuReason, utajikuta unakuwa "Mtumwa"
wa fikra ndio inazaa hizo Paranoia!

#Machale sio lazima yakutoe raha, ….yapo kwa ajili ya kukusaidia kukusukuma mpaka mwisho wa mpaka kabla
mambo hajajafikia #ThePointOfNoReturn!
 
Hapo umeongea bro, kila kitu iwe kwa kiasi. Hata kumuamini mtu basi iwe kwa kiasi, au amini lkn jua kwamba chochote chaweza tokea.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Lara please, naamini wewe ni kati ya watu ambao huishi kimachale please share what is wrong with trusting another person apart from yourself?

If a person takes advantage of your trust once SHAME ON HIM but twice dear, then its SHAME ON YOU definitely! In God we trust but in humans we speculate!
 
Ukipata mke wa hivyo fukuza kabisa hafai kuishi Na mume huyo Na pia hajali kwan Siku yoyote angemwacha mmewe
 
If a person takes advantage of your trust once SHAME ON HIM but twice dear, then its SHAME ON YOU definitely! In God we trust but in humans we speculate!

But what if l am taken advantage thrice but from three different people shame on who?
 
usaliti umesababisha watu waishi kwa machalemachale tu na wasiwasi wa huyu atanifanyia nini na lini
hii hali inaleta ubinafsi tu
kwangu mie ni heri nikamuamini tu mtu niwe na amani kuliko kukaa na wasiwasi muda mwingi
 
kweli
kiasi katika kila kitu ni bora

….unajua, kwa #AfyaYaAkili yako mwenyewe, jitahidi kujizuia mambo ….kwa "kiasi" au #KiwangoMaalum.
Ukiendekeza sana haya #Machale kiasi kwamba #UnashindwaKuReason, utajikuta unakuwa "Mtumwa"
wa fikra ndio inazaa hizo Paranoia!

#Machale sio lazima yakutoe raha, ….yapo kwa ajili ya kukusaidia kukusukuma mpaka mwisho wa mpaka kabla
mambo hajajafikia #ThePointOfNoReturn!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
usaliti umesababisha watu waishi kwa machalemachale tu na wasiwasi wa huyu atanifanyia nini na lini
hii hali inaleta ubinafsi tu
kwangu mie ni heri nikamuamini tu mtu niwe na amani kuliko kukaa na wasiwasi muda mwingi[/QUOTE]

Me too my dear.
 
Back
Top Bottom