Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,332
- 17,861
Kwenye uzi ule ulizungumzia umuhimu wa uaminifu kwa wana ndoa, ndio maana nikasema nilitegemea mchango unahamasiha uaminifu; au sivyo ulivyomaanisha kwenye post yako ya awali?
Na nimekuuliza pia kuwa machale ni remedy au silaha ya kujihami na kuvunjika kwa uaminifu? Sasa kila mtu akijihami hiyo familia itakuwaje au hayo maisha yatakuwaje au hiyo partnership katika biashara itakuwa vipi?
Nimekupata Kaunga nafurahi kama u grabbed that virtue as well. Nilidhani umenielewa ndivyo siyvo lol
Unajua binadamu tabia zake ni predictable...as a rational being kuna wakatininamfanya a act irrationally.na ndiposa inabidi kuweka control.mechanisms. kwenye biashara kuna.mikataba for the same reason na hiyo in my opinion inafanya.maisha kuwa marahisi zaidi...while ktk.ngazi ya familia kama mke na.mume ili kuhakikisha usalama wa.muungano kunakuwa.na maagano na a signed contract.....so kuwa.na machale.ni.muhimu kwa kuwa inafahamika madhara yake.endapo tutachukulia poa tu
Last edited by a moderator: