Tujadili: Dunia ya machale!!!!!!!!

Tujadili: Dunia ya machale!!!!!!!!

asante kwa mchango wako, it makes a lot of sense; lakini bado naona sio kitu kizuri sana kwa afya ya huyo mtu na pengine sio fair kwa wale watu ambao anapaswa kuwaamini. Is there anything which can be done ili aweze kuamini watu tena? au labda ni mimi tu ndio naona kama ni tatizo kutomuamini mtu hasa yule ambaye unapaswa kumuamini kama spouse vile.

  • Physcologial help itasaidia kuwa na sessions na shrink/specialist/pshycologist.So as to uncover the dark side.The root of the problem!!
  • Consultation with the people whom are the main course of the problem...The people who broke the trust and finding out the reasons why...so as to face them and finding a way to recover either by forgiving them or forgetting the whole incident!
 
Duh maswali magumu haya, tumuite na EMT pia huenda akatusaidia. Ila mimi nafikiri kama sijapewa sababu ya kutomtrust mtu basi sina sababu ya kutomtrust. Sasa kwa kiwango gani nitamtrust itategemea namtrust na kitu gani? Mfano l want to do business with you, ninapaswa kutrack record yako of course baada ya wewe kunipa maelezo yako. Baada ya kujiridhisha then sina machaguo zaidi ya kukutrust with my money.
Kaunga,

Hili suala ni deep. Kama alivyowahi kusema S. S. Phares kwenye thread moja, "Watanzania "asilimia ya kutosha ku-notice" walioko mijini ni kweli sio waaminifu. Huo ndio ukweli na wala sio majungu wenyewe mnajua. Huko vijijini ni mmoja mmoja sana kukuta sio waaminifu."

Mazingira akasema yake kuwa "Taarifa zisizo rasmi ni kuwa mojawapo ya sababu za kufungwa kwa Shoprite ya pale Lumumba ni kwamba wafanyakazi wao walikuwa wanawaibia sana."

Katika kudhibitisha haya Kang akasema "Hili tatizo lipo, sijui kama ni unique to Tanzania lakini lipo. Mama yangu ana bishara yake ndogo, kila mtu (100%) aliyejaribu kumwajiri pale alimwibia, sasa hivi ameona akae peke yake maana ni hasara tu."

Kuhusiana na kufungwa kwa Shoprite kwa sababu ya tatizo la uaminifu, akasema "Hili ni kweli, kuna siku nilikuwa nimetoka kununua kitu mle, mmoja wa wafanyakazi akanivuta pembeni akasema kuwa anaweza akawa ananitolea vitu nje kwa bei ndogo zaidi."

WomanOfSubstance nae akamwaga razi zake kuwa "Sasa hivi kuna utamaduni mbaya umejengeka kwa wa Tanzania - kutaka utajiri/mafanikio ya haraka haraka bila kuvuta subira na kusota. Siyo mahotelini tu. Ni kila mahali. Ukianzia kwenye makampuni ya simu, mabenki, na kwingineko utaona kamtindo fulani kwamba watu wanatafuta mashindano kwa kukwapua fedha kwa njia za wizi na ushahidi wa wazi upo. Kibaya zaidi ni vijana ndio wanaotaka take off ya haraka bila kujikongoja wakisahau kuwa hata ndege kabla haijapaa inaenda mwendo wa pole na baadae kuongeza kasi hadi kupaa. Hili tusilifumbie macho kabisa.Tukubali kuwa Tanzania uaminifu sehemu za kazi bado haupo.Waajiri wengi hata wa Tanzania wenye biashara zao, wanaona afadhali uajiri mgeni kwa gharama za juu kidogo ili uwe na amani kwa maana MTZ MWENZIO ATAKULIZA!"

Kama umejijengea mazingira ya kuwa trusted, watu wengine wataku-trust. Lakini kama unaishi kimachale, watu wengine nao wana haki ya kuishi na wewe kimachale. They will never trust you. Matokeo yake ni kuwa na jamii ambayo siyo trustful. Ndiyo jamii tuliyonayo Tanzania. Niambie ni Watanzania wangapi ambao wakirudishiwa chenji zaidi ya wanayostahili huwa wanamrudishia mwenye duka?
 
Aisee, mimi naona ni kama kuwa paranoia fulani hivi when you live around too much machale. Usiniulize what is too much and what is too little; yaani kuna watu muda wote wanahisi kutendwa tu hawana amani kabisa, nilikuwa na jirani yangu yeye kila mtu au anamuhisi mchawi au kama ni mwanamke basi anamzengea mumewe. Honestly nilikuwa namuhurumia.
Sijui nilikua wapi sikuuona huu uzi. Ni kweli anything too much ni harmful . Kwa mtazamo wangu too much machale haiko njema, na ktk mahusiano jambo jema ni kuaminiana kwa 100%. Huwa sijui unawezaje kumuamini mtu kidogo na huku unaishi nae kama mume au mke. Historia ya nyuma haifai kuiapply kwa kila unaekutana nae. Ni vizuri kumpa mtu nafac.

Nakumbuka kuna mkaka alimwambia mchumba wake kua hawezi kumwamini kwa 100% kwani alishatendwa sana huko nyuma. Kwa bahati nzuri mdada alijitoa moyo wake wote kwa mkaka na alimpenda sana , sasa mwisho mkaka akasema alikosea sana kusema vile na mpaka sasa wanaishi maisha mema. Mtu anapokua hakuamini/ana machale na wewe unajisikia vibaya sana hasa ukiwa mwamnifu.
 
Niambie ni Watanzania wangapi ambao wakirudishiwa chenji zaidi ya wanayostahili huwa wanamrudishia mwenye duka?
Yaani umeongea jambo la kweli kabisa mkuu. Tena unajua ukiwaambia kuna nchi zingine mtu akiokota pesa au kitu cha thamani anapeleka police wanashangaa na wengine akiona kitu si chake hakichukui hata kama ana shida nacho. Tz bado tuna safari ndefu ya mabadiliko
 
  • Thanks
Reactions: EMT
sometimes watu jinsi tulivyo
tuna attract aina fulani ya watu...


so dawa ni wewe mwenyewe jitahidi uwe muadilifu sana kiasi kwamba
mtu kukusogelea atajishuku...

nina uhakika tunawajua watu ambao waklo waadilifu kiasi kwamba
kama wewe haupo kiwango hiko unajikuta unawakwepa tu kiaina

so tukiwa watu aina fulani....aina nyingine itatukwepa
na aina nyingine itajisogeza
 
Veri tru maisha nwadays ukitaka kupunguza stress lazma uwe na machale..ilishasemwa kwny bible kuelekea mwsho wa dunia 'upendo wa wengi utapoa' ,ndo mana kila mtu yuko after self interests,haina budi kuwa hvi,times have changed so js live accordingly...u cant protect urself frm everythng,esp emotional pains,just hedge the risk..
 
Binadamu wa siku hizi wamekuwa wasio waaminifu, ni watu ambao ni wa siri sana na hii
inahusika na ubinafsi uliolkithiri wengi wetu tumekuwa wabinafsi sana hasa kwenye mali
zetu huwezi mwambie mwandani wako nina miliki kiasi gani kisa atakuchuna kiaina
jamani bandugu tujirekebishe tunaishi kimachale sana na tunakuwa watumwa wa kimachale
 
Back
Top Bottom