Tujadili: About the love life


Nakubaliana na wewe, yaani mtu ukishamganda sana ni tatizo, ila ukimpa nafasi, kama vile hujali kivile, anakumiss... duuuh, JF kweli hii.
 

Hapo kwenye bold, inasikitisha. Imagine, unajaribu unafanya kila unachoweza lakini wapi; sijui tunaweza ita mkosi au? Kwenye kundi hili nafikiri ndio wengi wamo humo na ndio wanaolia kila siku.

In purple ndipo snowhite na FP wanapoangukia; wao kutwa kucha ni kuwatoa udenda watu wengine! LOL
Nimependa sana uchambuzi wako now that nimeupitia upya na kwa kutulia.
 
Last edited by a moderator:
Sio siri dada Kaunga hata mi natamani sana watu ambao ni maatracters na makeepers pia,hongereni sana snowhite na FP kama ndivyo ilivyo kwani ni wachache waangukiapo hapo.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Reginald Mengi ni keeper?

waoh, good question. Itabidi tuchambue sifa za keeper hasa ambazo ni acquired; na nafikiri kwa mwanaume MBESA ni mojawapo ili uweze kumkeep mdada!
 
waoh, good question. Itabidi tuchambue sifa za keeper hasa ambazo ni acquired; na nafikiri kwa mwanaume MBESA ni mojawapo ili uweze kumkeep mdada!

So huwezi kuwa a keeper kama kiwango chako cha pesa
'hakimridhishi' mwenzio sio?
 
So huwezi kuwa a keeper kama kiwango chako cha pesa
'hakimridhishi' mwenzio sio?

Sio kweli bwana, was just joking. Waweza mkeep mpenzi ambaye ana mapenzi ya kweli, lakini yule ambaye anafanya biashara ofcourse huwezi mkeep after all she is not worthy keeping; coz sidhani kwamba kuna mtu anayefurahia (unless he is also a player) kuwa na mtu ambaye unajua anapenda what you have and NOT who you are!
 
His dough is the attraction.

So kwa mwanaume kuwa na pesa automatically unakuwa attractor....
so kutafuta pesa ni kujaribu kuwa attractor pia....
na kutokuwa na pesa inaweza kufanya usiwe attractor..
 
if some one is starving yes, lakini if someone looks for love and real love, you have to have more than a meal ticket!

wanawake waliom date Mengi walikuwa wana starve?

K lyinn?madame Ritha?
 
wanawake waliom date Mengi walikuwa wana starve?

K lyinn?madame Ritha?
By starving ninamaanisha ukiwa unataka pesa na more pesa na more pesa, pia waweza starve for jina na hata power.
 
Im not a keaper, neither an attractor sijui nadondokea kundi lipi,niponipo tu sijielewi
 
Im not a keaper, neither an attractor sijui nadondokea kundi lipi,niponipo tu sijielewi

why do you think you are neither of them?
what do you want to be?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…