Tujadili: About the love life


hapo nimepata mwanga zaidi
 
Last edited by a moderator:

hivi mtu chake ame rizain?
 
Last edited by a moderator:
Dada Mwonilih! Habari za magono!!

Wifi yako Preta yupo mpweke nimesafiri, uwe unasalimia na kumtembelea maana vagosi vangi vavii ngati makoko!!
ha haaa, pole mlongo wangu...
wadala wa magono haga vichungika lepa mlongo wangu. kuwa na amani tu
 
Nafikiri mie ni gud Keeper lolz!

Attractor not very sure lolz.

Nachofanya..
1.Kuridhika na niliye nae na kujifunza kuyakubali mapungufu yake,
2. kuendelea kujifunza sanaa ya malavi davi kila iitwapo leo,
3. kuhakikisha na maintain tabia zangu njema na Kufanyia kazi mapungufu yangu
4. Kufanyia kazi muonekano wangu.. Mavazi, size n.k


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Unajitahd sana kama tu hayo unayoandika ndo unayoyafanya.
 
How??? Fafanua tafadhali.
Hahahaha Kaunga, mie kwa uchunguzi wangu nimegundua the more unamganda mtu the more hataki kuwa na wewe, bali ukimwacha ukampa nafasi ya kukumiss, kama vile anakuja resi, hii nimeiona kwa mdada mmoja hivi nilimpa ushauri ukafanya kazi, sasa hivi katulia kwenye ndoa yake takatifu
 
One can be both, attracter and keeper. It may happen that an attracter can't keep, and that's really complicated.

Attraction comes mainly from the physical appearance of an individual, the way they talk, laugh, smile, etc. But aint enough to keep someone. Guys who lack attraction often try so hard to convince smb but once they manage to do so, they succeed in keeping them coz they know how hard it is to get them, attracters mosty dump easily, they don't care coz of their looks, they are confident, they are admired by lots of people so for them, dumping isnt an issue.
 

Well said Eli79, naona unakubaliana na mwl. gfsonwin nami nakubaliana nanyi.
 
Last edited by a moderator:
Aahahh; okay. It is another way of dealing with hawa viumbe tunaowapenda.
 

ila kweli!
kuna wakati hii mbinuhii huwa inasaidia sana!
yani unamkeep mtu bila kujijua kuwa unamkeeep like hutaki ajue kuwa he/she is tht keeeeepable
ile anakuja kustuka kuwa hutaki kumkee[ yeye ndo anataka kukipeeka sasa!anajikeepishaaaaje!
 
ila kweli!
kuna wakati hii mbinuhii huwa inasaidia sana!
yani unamkeep mtu bila kujijua kuwa unamkeeep like hutaki ajue kuwa he/she is tht keeeeepable
ile anakuja kustuka kuwa hutaki kumkee[ yeye ndo anataka kukipeeka sasa!anajikeepishaaaaje!

Anajikeepisha; l just love it! Lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…