Tuiunge Mkono JamiiForums Katika Tanzania Digital Awards

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
23,568
70,536
Habari za jioni wakuu.

Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii Tanzania Digital Awards na katika kupekua pekua nikaona kuna category ambayo hata mtandao wetu pendwa wa JF na Maxence Melo wapo kwenye kinyang'anyiro.

Hivyo basi nikaona haina budi kuweka uzi hapa kuwajulisha (ambao bado hawajaona na kupiga kura) ili tuwapigie kura kama ishara ya kuunga (mkono) juhudi za Melo na JF kwa ujumla katika kutuweka pamoja na kuhabarishana na kuburudishana.

JINSI YA KUPIGA KURA.

1. Fungua link hii 👇

2. Ikishafunguka uta click palipoandikwa 'VOTE' ita pop-up ka window ambapo ndio kutakua na categories na sub-categories.



4. Katika Awards Category chagua Digital Media

5 (i) Katika Award Sub-category chagua Digital Media Leader of The Year (Male) hapo unaweza kumpigia kura Melo kwa kumchagua.

(ii) Katika Category hiyo hiyo (refer namba 4) chagua tena Sub-category ya Best News Blog na hapo unaweza kuichagua JamiiForums.

Nawasilisha.
 

Attachments

  • 1582051898604.png
    378.4 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…