Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,181
- 7,381
Mtaje mmoja tu!.Sifa gani za wizi na ujambazi au unataka nikutajie wachaga kumi wenye madaraka na wanaojifanya matajiri lakini ni wezi.
Acha usengerema wewe nyie ndo wale watoto wa kiswahili mnabaki kusema wachaga wachawi.wezi. uku tunazidi kuwaamisha mjini na uko mnako amia baada miaka tunakuja kiwanunua pia kama amtafanya kaziAndiko reeefu kumbe pumba tupu,
wewe wachaga huwajui unawasikia tu.
Wachaga ni wezi
wachaga majambazi
wachaga washirikina,hayo mabiashara yao ni uchawi mtupu.
NENDA kule kwao Romba kila nyumba kuna mtoto taahira ndani.
Hii field sio division of Labour ni division of tribe wewe,mbona kazi nyimgine hufanywa na watu wa makabila mbalimbali,zaidi ya hiko kimgine mlichokuwa nacho ni kubebana tu.hamna lolote.Rejea somo ulilofundishwa linalohusiana na "DIVISION OF LABOUR". Shoe shine nao wana umuhimu wake katika uchumi wa Taifa letu. Mtu huyu unayemdharau anapata kipato cha kujikimu yeye, familia yake na wazazi wake aliowaacha kule kijijini; na kwa taarifa yako habari sahihi kule kijijini kuwa fulani yuko DSM ni mfanya biashara.
Kama anaingiza TZS 20,000 kwa siku wewe unadhani mfanyakazi wa Urafiki mwenye Diploma anapata kipato hicho kwa siku?
sema usemavyo lakini huyo unayemdharau analisha familia yake, anatoa msaada kwa wazazi wake na chanzo kikubwa cha habari kwa wapenda vijiwe kama weweHii field sio division of Labour ni division of tribe wewe,mbona kazi nyimgine hufanywa na watu wa makabila mbalimbali,zaidi ya hiko kimgine mlichokuwa nacho ni kubebana tu.hamna lolote.
Hata kobe anafamilia na anailisha, ije kuwa shoe shiner mangi.sema usemavyo lakini huyo unayemdharau analisha familia yake, anatoa msaada kwa wazazi wake na chanzo kikubwa cha habari kwa wapenda vijiwe kama wewe
Wee jamaa genius, niliwahi kuishi Makete miaka hiyo hawakuwepo sijui siku hizi. Kwa hiyo una maana nilikosea kuishi kule?Mimi ni Mkuria,Baba yangu alishaniambia ukienda mahali popote hapa Tz ukimkosa mchaga ni siishi hilo eneo halifai.
Mkuu ni maarifa na kujituma tu,hamna muujiza hapo,kama mchaga,"ubepari & maslahi ya SHILINGI ni KIPAUMBELE CHA KWANZA",Pale tu jua linapokucha...ndio ukweli hapoAndiko reeefu kumbe pumba tupu,
wewe wachaga huwajui unawasikia tu.
Wachaga ni wezi
wachaga majambazi
wachaga washirikina,hayo mabiashara yao ni uchawi mtupu.
NENDA kule kwao Romba kila nyumba kuna mtoto taahira ndani.
Andiko reeefu kumbe pumba tupu,
wewe wachaga huwajui unawasikia tu.
Wachaga ni wezi
wachaga majambazi
wachaga washirikina,hayo mabiashara yao ni uchawi mtupu.
NENDA kule kwao Romba kila nyumba kuna mtoto taahira ndani.
Si kwel wachaga wapambanaji sana
n jambo la ajab san kupinga hoja kwa chuki binafsAndiko reeefu kumbe pumba tupu,
wewe wachaga huwajui unawasikia tu.
Wachaga ni wezi
wachaga majambazi
wachaga washirikina,hayo mabiashara yao ni uchawi mtupu.
NENDA kule kwao Romba kila nyumba kuna mtoto taahira ndani.
nenda bas nawe kaibe mbona kelele nying mwulizene RC SADICK alivyonda Kili aliona tofaut gan kat ya dsm na kiliSifa gani za wizi na ujambazi au unataka nikutajie wachaga kumi wenye madaraka na wanaojifanya matajiri lakini ni wezi.
em sema na ww mafanikio yako au ulifanya nn kuzuia izo dili zao haramuUsinitishe mimi nimekaa Arusha mwaka 21 huu nafahamu dili zote za wachaga hawana kitu zaidi ya ujambazi na njia haramu za kupata pesa
em weka vyet tuanzie hapo acha kelele man inavyonyesha IQ yko siyoWewe acha upimbi huo!
Wachaga hawana akili zozote za maisha ni ushirikina tu nakwambia nenda Rombo kahesabu idadi ya matahira kule. Utashangaa
we una nn acha kelele bas mbon majungu mengi kama washirkina bas we nenda kawaombee waache ushirikinalazima ujivunie maana unakupa mali za laana ujambazi na ushikina
[emoji41][emoji41]Big upMwaka jana nilibahatika kwenda Arusha kikazi ambako nililazimika kukaa kwa muda wa majuma mawili. Kuna mambo ya maana nimejifunza kutoka kwa kabila la wachaga, ambayo kama watanzania tukiyatilia maanani, yanaweza kutuletea maendeleo kwa haraka.
Katika pitapita zangu sikuwahi kuwaona wachaga wakiwa wamekaa kwenye vijiwe au vikundi vya kupiga sogakila mtu yupo serious na kazi au shughuli inayomuingizia kipato. Kuna baa moja maarufu ambayo nilipenda kwenda kula chakula ambako pia nilijifunza jambo kuhusu kabila hili. Sikuweza kuwakuta wachaga wakilewa ovyo kama watu wa makabila mengine. Mchaga akitoka kazini hupitia baa na kunywa bia zake 2 au 3 na kisha huondoka kwenda nyumbani kujipumzisha ili kesho awahi kazini kwake kuchapa kazi bila kuathiriwa na mninginio (hangover) wa ulevi. Wachaga huwa hawakeshi kwenye mabaa wakilewa chakali. Hawana utamaduni huo hata kidogo.
Aidha, wachaga ni watu ambao wanaheshimu sana kazi. Kazi wanayoiweza na ambayo imewapa sifa sana ni biashara. Sote ni mashahidi jinsi ambavyo watu wa kabila hili wametapakaa nchi nzima wakifanya shuguli za biashara kuanzaia ya duka (Dukani kwa Mangi) hadi biashara kubwa kabisa. Hakuna mtaa katika nchi hii ambako utakosa duka la Mangi. Nadhani mazingira ya mikoa wanayotoka (Arusha & Kilimanjaro) inachangia sana kuwafanya wawe wajasiriamali na watafuta mali/utajiri. Katika mikoa hii, hakuna ardhi ya kutosha kuendesha shughuli za kilimo. Hivyo, inawalazimu kuwa wajasiriamali moja kwa moja tangu wakiwa na umri mdogo.
Wazazi wa kichaga huwarithisha watoto wao ELIMU badala ya ARDHI (ambayo hawana). Mzazi akishamsomesha mwanae hadi akahitimu chuo au kozi fulani, ndio nitolee. Usitegemee kwamba atakupa urithi mwingine zaidi ya huo hata kama ana utajiri wa kutishasahau kabisa! Hili nalo linasaidia kuwafanya watoto wa kichaga wasome kwa bidii na kufaulu vizuri. Ushahidi wa hili ni kwenye matokeo ya mitihani ya kitaifa. Mara nyingi mikoa ya Arusha na Kilimanjaro hufanya vizuri kila mwaka. Ndio maana wachaga wengi hushiikilia nafasi za juu serikalini na katika sekta muhimu hapa nchini. Sio kwamba wanapendelewa au kupendeleana kikabila bali inatokana na juhudi zao za kusaka elimu na maendeleao kwa bidii zao zote.
Ikiwa kila mtanzania akiiga utamaduni huu wa wachaga ni wazi kwamba nchi hii itapata maendeleo haraka kuliko tunavyotarajia. Kwa bahati mbaya makabila mengine wanaweza sana kujikweza na kujisifu (Wahaya), kukatana mapanga na kupigana vita (Wakurya), kucheza ngoma na bao (Wakwere, Wadengereko na Wakwere na baadhi ya makbila ya pwani), kujinyonga (watani zangu Wahehe), kula chamaki nchanga na (watani zangu Wamakonde na Wahehe), n.k.
Utamaduni huu wa maendeleo kutoka kwa watani zangu wachaga nimeupenda sana na ningeomba kila mtanganyika mpenda maendeleo auige.
Nawasilisha.
:yield: