Na nyie mlikuwa wapi? Kwa nini hamkufichuwa ufisadi huo hapo kabla ili kuonyesha kweli Ni wazalendo wa nchi hii. Ukianza kuweka mambo hadharani wakati huu wa uchunguzi huoni kwamba Kuna kitu unakitengeneza ambacho kimsingi kinaweza kuathiri uchunguzi wenyewe? Ninajaribu kuwaza tu.Ni eneo gani la serikali ambalo halina vijana wa TISS? Je hakuna ufisadi? watu wanachomoa pesa hadi benki kuu na TISS wamejazana kibao, mbona nilifikiri una akili kuzidi hii comment yako?
Na kwa taarifa yako kilichosababisha aombe kujiudhuru ni kutokana na mwenendo wa uchunguzi unaoenda kuwatia hatiani maana yeye kama msimamizi na pay master wa serikali lazima awajibike kwa uzembe uwe wa kujua au wa kutokujua.