Tuhuma za rushwa BAVICHA zipelekwe TAKUKURU - Zitto

kumbe hata chadema kuna wala na watoa rushwa? Du, na misifa yote wanayojipa.

Chadema haikumbatii watoa rushwa ndiyo maana ikamuengua habibu mchange! Tunge nyamaza mngesema hawa ni wale wale tumesema mnasema tunataka sifa, sasa mnataka tufanyeje
 
kumbe hata chadema kuna wala na watoa rushwa? Du, na misifa yote wanayojipa.
Rushwa/Ufisadi uko kila sehemu tatizo ni jinsi mnavyo washughulikia mfano mbaya ni CCM na akina Kikwete, Lowasa, Rostam, Chenge hawa watu ni baadhi ya mafisadi wakubwa lakini serikali haitaki waguswe hapo ndipo tunapo tofautiana mkuu.....
 
Du kweli chadema noma................haya endeleeni kupiga vita ufisadi.............................................................................!!!!
 
Kinachosikitisha hapa JF ni kwamba kila Zitto anapozungumza kuna watu hujitokeza kupinga kwa nguvu zote ili mradi Zitto aonekanae ni adui wa Chadema. Naanza kufikiria kwamba hawa watu wanapenda sana kuona mgogoro ndani ya chama na pengine sii wanachama wala wapenzi isipokuwa ni mapandikizi walipenda malumbano na Zitto ili afikirie kwamba hapendwi na Wanachadema...

MkamaP,
Mkuu wangu tuko pamoja kwani yashangaza sana...Zitto katoa mawazo yake na kachukua hatua moja kubwa zaidi kudhibiti rushwa ndani ya chama tena kwa mtu ambaye wao wanadai ni mtu wake imekuwa kosa jingine....Sasa kama Zitto anataka chaguo lake achunguzwe na PCCB kwa makosa ya rushwa iweje liwe kosa na unafiki wa Zitto tena ni pendekezo tu kwa katibu wake wa chama!. halafu majibu yao ni kwamba toka lini rushwa ikawa a crime case!...heee makubwa haya tuendako kiza!
 
mkuu Never

umesema vikao vilisimamiwa na SHIBUDA, kwa hiyo SHIBUDA alisimamia maovu ndani ya chama, kama sijakuquote vibaya, na kama ni hivi huyu mzee atakuwa ni agent aliyetumwa kusambaratisha CHADEMA,
 
Rushwa/Ufisadi uko kila sehemu tatizo ni jinsi mnavyo washughulikia mfano mbaya ni CCM na akina Kikwete, Lowasa, Rostam, Chenge hawa watu ni baadhi ya mafisadi wakubwa lakini serikali haitaki waguswe hapo ndipo tunapo tofautiana mkuu.....

Na yule aliyetaka kuwauzia chama chake malori ya 10m kwa zaidi ya 400m unamuitaje, Fisadi au mfanya biashara, au mwana siasa?
 
tafuta kitu kinaitwa EPOCA SOMA VIZURI PAMOJA NA MAELEZO MENGINE TOKA TCRA

KAMA HABIB AKIAMUA KWENDA MAHAMANI MAHAKAMA INAWEZA KUWAITA TIGO , TIGO INAWEZA KWENDA CHADEMA AU KWAKO WEWE KULETA USHAHIDI WA JINSI TAARIFA ZA HABIB ZILIVYOINGIA KWENYE MIKONO AMBAYO SIO NA KUTUMIKA KINYUMEKAMA HII KATIKA TUHUMA ZA RUSHWA JE AKISHINDA KESI YAKE UTAKUWA NA NINI CHA KUSEMA MZEE NEVER ?
 
zito hoja imetulia but chdm kuweni makini na mfumo wa uendeshaji chama.
Jamii ya kitanzania iko nyuma yenu so mmebeba HOPE ya mamilioni ya Watanzania wasiojua milo mitatu na wale wachache wanaoijua...CHDM CHAMA MAKINI
 
mkuu Never

umesema vikao vilisimamiwa na SHIBUDA, kwa hiyo SHIBUDA alisimamia maovu ndani ya chama, kama sijakuquote vibaya, na kama ni hivi huyu mzee atakuwa ni agent aliyetumwa kusambaratisha CHADEMA,
Mkuu kama maneno ya Never yana imanisha ulichokiandika basi wako wengi.....
 
Na yule aliyetaka kuwauzia chama chake malori ya 10m kwa zaidi ya 400m unamuitaje, Fisadi au mfanya biashara, au mwana siasa?
Kwanza kwa taarifa yako yale ni zaidi ya malori ni Mitambo ya uenezi, pili hakutaka chama ndicho kilitaka, na issue iliwekwa mezani ijadiliwe...kwa hiyo hapo hayupo kwenye makundiyo yote hayo labda kama unaushahidi kuwa alitoa rushwa ili wajumbe wapitishe hapo ni kesi nyingine...
 
Na yule aliyetaka kuwauzia chama chake malori ya 10m kwa zaidi ya 400m unamuitaje, Fisadi au mfanya biashara, au mwana siasa?

wacha ufisadi ewe ccm. bei ya lorry mil 10? embu tupe ushahidi hapa mropokaji namba moja wewe!
 
tafuta kitu kinaitwa EPOCA SOMA VIZURI PAMOJA NA MAELEZO MENGINE TOKA TCRA

KAMA HABIB AKIAMUA KWENDA MAHAMANI MAHAKAMA INAWEZA KUWAITA TIGO , TIGO INAWEZA KWENDA CHADEMA AU KWAKO WEWE KULETA USHAHIDI WA JINSI TAARIFA ZA HABIB ZILIVYOINGIA KWENYE MIKONO AMBAYO SIO NA KUTUMIKA KINYUMEKAMA HII KATIKA TUHUMA ZA RUSHWA JE AKISHINDA KESI YAKE UTAKUWA NA NINI CHA KUSEMA MZEE NEVER ?
Kwanini usimshauri jamaa yako mfungue kesi
 
tafuta kitu kinaitwa EPOCA SOMA VIZURI PAMOJA NA MAELEZO MENGINE TOKA TCRA

KAMA HABIB AKIAMUA KWENDA MAHAMANI MAHAKAMA INAWEZA KUWAITA TIGO , TIGO INAWEZA KWENDA CHADEMA AU KWAKO WEWE KULETA USHAHIDI WA JINSI TAARIFA ZA HABIB ZILIVYOINGIA KWENYE MIKONO AMBAYO SIO NA KUTUMIKA KINYUMEKAMA HII KATIKA TUHUMA ZA RUSHWA JE AKISHINDA KESI YAKE UTAKUWA NA NINI CHA KUSEMA MZEE NEVER ?
Kinachojadiliwa hapa ni ushahidi wa rushwa wewe unataka tujadili Data protection act topic ambayo ni pana sana unaweza kuanzisha thread yake, kwenye mambo ya data protection mwenye data za watu kama huyo Tigo anaweza kushitakiwa vile vile kwa kutozitunza siri za wateja yaani kwa kushindwa au kutokuwa na technology ya kuzuia watu ku hack data za wateja kwa hiyo hapa anayeshikiwa si mtoa siri hata mtunza siri.
 
Back
Top Bottom