Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
anaifanyia kazi subiri nakuja na majibu mida...lolNimempa namba yangu, kaingia mitini....jamaa alikuwa anachangamsha jamvi!
anaifanyia kazi subiri nakuja na majibu mida...lolNimempa namba yangu, kaingia mitini....jamaa alikuwa anachangamsha jamvi!
Mkuu naomba kueleweshwa hapa..Nini kilifanyika bondeni bar, na Shibuda alikuwa kiongozi wa mipango, je alikuwa anawakilisha chama au kikundi chao kichafu..
Mkuu bado hujanijibu nilicho kiuliza, nilichokielewa kwenye majibu yako ni hivi kama utaniambia kilichofanyika Bondeni bar utakuwa tayari umetoa ushahidi kabla ya kuupeleka kamati kuu...kama ndiyo tunasubiriNdiyo maana nikasema ushahidi mwengine utakuja baada ya kamati kuu kukaa, tunapeleka ushahidi huu kamati kuu then baada ya hapo tutauweka hapa, kama tulivyofanya awali kwa habibu mchange
tafuta kitu kinaitwa EPOCA SOMA VIZURI PAMOJA NA MAELEZO MENGINE TOKA TCRA
KAMA HABIB AKIAMUA KWENDA MAHAMANI MAHAKAMA INAWEZA KUWAITA TIGO , TIGO INAWEZA KWENDA CHADEMA AU KWAKO WEWE KULETA USHAHIDI WA JINSI TAARIFA ZA HABIB ZILIVYOINGIA KWENYE MIKONO AMBAYO SIO NA KUTUMIKA KINYUMEKAMA HII KATIKA TUHUMA ZA RUSHWA JE AKISHINDA KESI YAKE UTAKUWA NA NINI CHA KUSEMA MZEE NEVER ?
Kabla Mchange hajawashtaki Tigo ajiulize je habari hizi ni za kweli? kama ni za kweli je kutoa hizo pesa kwa wajumbe wa mkutano si rushwa? akishajibu maswali haya ndipo aende kuwashitaki Tigo ila ajiandae kukutana na Takukuru it is a two cutting edges sword ni hiari yake kuchagua upande upi wa makali ni nafuu kuushika.Hii taarifa kutolewa hadharani haikiuki haki za mteja? Habibu Machange hawezi kuwashtaki TIGO?
Uko sahihi mkuu, subiri kwanza kamati kuu ipate huu ushahidi then nitarudi kwenu,Mkuu bado hujanijibu nilicho kiuliza, nilichokielewa kwenye majibu yako ni hivi kama utaniambia kilichofanyika Bondeni bar utakuwa tayari umetoa ushahidi kabla ya kuupeleka kamati kuu...kama ndiyo tunasubiri
kumbe, sasa mchange pesa alikuwa anapata wapi wakati yeye ni denti?
Someni hii link:
Tanzania lag on privacy law « Tanzania Legal News
Privacy imekuwa guaranteed na Katiba ya Tanzania! Kifungu cha 16.-(1) Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi
kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake na unyumba wake, na pia heshima na hifadhi ya maskani yake na mawasiliano yake ya binafsi.
au kwa kiingereza: …Every person is entitled to respect and protection of his person, the privacy of his own person, his family and of his matrimonial life, and respect and protection of his residence and private communications…'
Mara nyingine pamoja na malengo yake mazuri, RIGHT TO privacy inatumika kama kichaka cha maovu na inazuia vyombo vya haki kupata taarifa njema kama hizo. BINAFSI NINAHESHIMU HAKI YA HIFADHI/PRIVACY LAKINI NACHUKIA UHUNI KAMA WA HABIB...!!!
MAMBO YA KUNUNUA UONGOZI WAACHIWE CCM BANAAAA...!!!!