TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa

Siku si nyingi watasema CDM ndio wanaolangua sukari na kusababisha bei kupanda. Wanataka kutawala lakini mambo yanapowashinda, wanatafuta wa kumwangushia mzigo.
 
Aliyeandika upuuzi huu atakua ni ficcccc hawezi kuwa mchadema. ni mnafiki mkubwa nyumba ya jirani inakuhusu nini huko ficccm kutakua ndo ufisadi umekidhiri mnapokea hela nyingi sana mnafanyia nini?
 
Sisi CDM asilia tunauliza kwa uchungu kwa nini Chama chetu Makao Makuu yako mafichoni na katika eneo ambalo halina hadhi kwa Chama chenye wabunge na Madiwani wa kutosha katika Nchi hii?

Nashauri vikao vifanyike katika ngazi zote tujadili jambo hili na tuletewe hesabu ya Mapato na Matumizi ya Ruzuku kuanzia 2005-2015.

Vinginevyo tutakosa imani na Uongozi wetu katika hali kama hii. Nawasilisha kwa niaba ya CDM Asilia.
 
Wengi wa mamanda wenzangu hawana uwezo wa kuchuja kipi ni kitu bora au sio bora.

Hawana uwezo wa kupambanua mambo kitaaluma, maana hata kama kiongozi wetu anafanya ubadhirifu na udikteta wanaona sawa tu.

Asilimia kubwa ya makamanda wenzangu ni shuleless ndio maana chama kinapelekwa hovyo hovyo tu.
 
Mkuu hizi siasa za namna hii ziliondoka na mwendazake! Relax...kunywa mtori nyama ziko chini......
 
Wangeyasikiliza mawazo yako hata cuf ya professor ingekuwa na nafuu leo.Wengi walitamani na wanatamani chama hicho kife,ila yaoi majembe yalibaini hila hizo,na hivyo mengine hayafanywi kwa bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom