Tuhuma dhidi ya Mhe. Mbowe kupewa fedha: Hatua za kisheria kuchukuliwa

kwa haya mambo, acha kesho iwe siku ya mapumziko! Mbowe mwenyewe alishasema kupewa pesa sio tatizo, ila unapewa kwa ajili gani ndio shida!

kaka mtoa mada ni chizi,unatetea nini wakati mbowe amekiri kulamba mkwanja,acha kuwa kondome bana
 
Mbowe is a genius,

With his little education he still manage to controll the whole group of so called wasomi within Chadema and turn them into zombie/msukule mode...

Hakuna biashara inayolipa kama chadema kwa sababu wateja wake wameishakuwa mateja

Eti hichi nacho ni kigreza cha mtu anayeishi ulaya sijui America!!
 
mbowe ni fisadi.hana maadili yoyote hizo hela ni kweli amechukua.kiongozi mwenye maadili hawezi kuzini na kuzaa nje ya ndoa yake halali na mbunge wake wa viti maalum.huo ni utovu wa hali ya juu wa nidhamu

acha ujinga hivi tukisema tufuatilie viongozi wenu wa magamba kuhusu zinaa nje ya ndoa,nani anapona.mbowe ajisafishe kwa hilo lakini jua kuwa hata wengine haawponi kwa hili including yourself
 
Ciciem kwishney, walidhani kibaraka na msaliti Yuda Iskariote Zitto angewasaidia. Aaaaa wapi! Sii kwa Chadema. Chadema ni namba nyingine.
Je tukiwauliza ciciem na uongo wao wanakubali ni kukiri kwamba wao ni chama bingwa wa kutoa Rushwa? Dadeki!! Wamebanwa mbavu kiasi kwamba wamekiri kwa hiari kuwa ni wstoa rushwa.
Ciciem mtajuta kuifahamu Chadema.
Go Mbowe gooooo...
.
 
Mikakati ya b7 ni kuchafua uzi ktk dakika chache. Tazama majibu yao na muda walioutumia (3mnts) walishajaza upuuzi wao.

Asante Makene, ni vizuri wakati mwingine kujibu tuhuma za wapinzani.
 
Tuhuma za Mbowe binafsi, kinajibu chama, kwa nini asijibu mwenyewe? au Kurugenzi ya Habari ni ofisi binafsi ya Mbowe?
 
CDM wakurupukaji!! Mbona MBOWE alikiri kuchukua na kupokea hela,kimantiki ni kwamba kwa vile hajakanusha yeye mwenyewe,tuhuma zilizotolewa ni za mashiko na zinabeba ukweli fulani.Mtahangaika kumpigania mkuu wenu lakini tayari Watanzania wameshajua ukweli na uhalisia uliopo nyuma ya pazia,kinachosubiriwa ni kutoa funzo kali katika sanduku la kura,kwa wale wote wanaosimamia na kulinda unafiki na kuhubiri wasichokitenda.! watanzania waleo si wajinga kiasi hicho!!
 
Mbowe ahakikishe anamburuza huyo msaliti kortin kwa kumchafua bila Ushahidi! Mbowe ni zaidi ya Kiongozi.
 
Msihangaike hakuna aliyeamini hizo ngojera. Ni mateke ya mwisho kwa wasaliti wanaokata roho kisiasa.
 
Niwakati wa kuwaumbua watu wanaopenda kuchafua haiba za watu kwa uongo na uzushi ili kutengeneza mazingira ya eti ccm na chadema ni walewale. kutokana na kuchafua haiba ya mtu kuna haja kudai gharama za kumsafisha kwenye magazeti yote yaliyo mchafua tena kurasa za mbele kwa muda wa wiki nzima.
 
cc tulishaelewa kuwa hakuna ukweli hapo ndo maana hata mkono mwenyewe alkanusha, wamebaki ccm-zitto tu
 
we kama unajua kuwa Mbowe is Genuas kwani usizungumze juu ya Epa Uswis na meremeta kwanza Pu))))vu zako book7
 
Back
Top Bottom