Tugawe vitengo JF

Tugawe vitengo JF

Tugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:

1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote

Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
Kitengo cha kumsifia mama
 
Mimi familia Tanzania kule ni kwenda kutafuta magari tu na kuyaleta huku ingawaje nina makazi ya kudumu ila nilirudisha majeshi home...nimeangalia sera narudisha duka pia kariakoo bidhaa za kuleta nyingi sana.
Safi bro watu makini kama wewe najifunza kutoka kwenu , ndio maana nakufahamu kwa kiaisi chake 🤔
 
Back
Top Bottom