min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,263
- 127,185
Nilisahau kitengo nyeti kama hiki kweli🤔Nimependa 😍
Nilisahau kitengo nyeti kama hiki kweli🤔Nimependa 😍
So ndo hapo nguvu ya type bila kula msingekuwa nayo 😄Nilisahau kitengo nyeti kama hiki kweli🤔
Wifi ameshahama au gari iko bandarini 😂😂😂Moto upo utawaka
Apewe mikoba 😄Katika jopo lenu tuchagulie mmoja unayemuamini.
Maana Wana JF Tuliweka imani kwako mkuu😆😆🙏
🤣🤣🤣🤣Na mm naandaa mishumaa hapa aje ataje tareh ya sessionMkuu leo nimepata 25k tu dah! Una session ya YAKUZ YAVUZ lini nijoin
😀
Mjuaji uyu,ana standard gani uyu janjaGENTAMYCINE hata sitaki kumzungumzia huyo ana standards zake za kipekee bwashee 🤔
Kuna kitengo cha mganga mwekeni Brother Mshana JrTugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:
1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote
Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
Usifanyehivyo kaka vijanawako yunakutegemea mambo badoNimeshaokoka jamani sirogi tena🙌🏿😀
Kwa SOS sawaUsifanyehivyo kaka vijanawako yunakutegemea mambo bado
Kitengo cha kububujikwa machozi- LucasTugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:
1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote
Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
Paskali hawezi kuchukua kitengo vha habari, labda akae kitengo kimoja na lucasTugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:
1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote
Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
Hahaha mkuu1 .Kitengo cha akili kubwa na ufahamu
Kiranga
Infropreneur
Dennis Robert Shughuru
2.Uchawa
Tlaatlaah na Mwashambwa
2b vinywaji na starehe
Mad Max mimi na Dr am 4 real PhD
2.Ngono
mzabzab
Binti wa zamani
3.Injili ya ugoko
Setfree
Rabbon
matunduizi mzee wa kapu la sadaka
4.siasa
Benjamini Netanyahu
Erythrocyte
5 Michezo
Kalpana
Labani og
Wewe hakuna wa kukufikia aiseeeeKitengo mujarabu kabisa cha kidunia 😂😂😂kula ndio kilakitu
Ahahah sawa kitengo cha comment tunakuachia wewe kaka kila uzi upo 😂
😂😂🙌 Majobless pro max
Malaria 2 anatosha mkuuSection ya ukobazi itasimamiwa na nani?
Mimi nafaa kitengo cha kusilimishaMalaria 2 anatosha mkuu