Tugawe vitengo JF

Pumba tupu
 
HIZI TEUZI ZA HUMU NAONA KAMA ZIMEJAA UPENDELEO NA KUJUANA..BILA CONNECTION HUTEULIWI POPOTE!!
 
Bila shaka umelogwa
Wewe ni chawa promax. Ulikuwa chawa wa Mbowe. Ulipoona kuna dalili za Mzee Mbowe kushindwa, ukahamia kwa Lissu. Sasa hivi uko kwa Lissu na Heche kama chawa promax JF. Na kura tulikupigia ukamshinda Lucas Mwashambwa hapa JF. Kama unabisha tuwaombe mods waulete ule uzi ulioshinda kwa uchawa! Ahahahahaha!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…